Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wanaume hao 4 wamekamatwa kwa tuhuma za kuvunja nyumba na kuiba. Kwa maelezo ya askari wanasema kwamba walipata taarifa kutoka kwa mwanamke mmoja ambaye ni mmalawi lakini mwenye asili ya India...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Natumaini mu wazima wa afya!Nipo njia panda nahitaji ushauri Kwasasa nimeajiriwa chuo cha serikali Tanzania bara.Niliamua kuomba nafasi kutokana na changamoto ya ajira ya fani niliosomea.Nimepata...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Wadau, natafuta duka linalouza injini mbalimbali za pikipiki, nipo mkoani KIGOMA, kwa anayefahamu aje PM au kwa WhatsApp no 0758204681
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nakumbuka Enzi za udogo wangu nililelewa na bibi Kwanza kabla sjafika huko tunapoelekea RIP bibi yangu kipenzi, Mbele yako nyuma yetu  Namkumbuka Bibi yangu alikuwa mtaalamu sana wa tiba za...
1 Reactions
25 Replies
5K Views
Kwa wale wana jf ambao katika maisha yenu mliwahi kulelewa na watu ambao sio ndugu zenu au watu baki hebu karibuni tuzungumze tuliyojifunza na kuyaona toka kwa watu bakiiii....... Mimi upande...
5 Reactions
25 Replies
4K Views
Habari ndio hiyo! Source Clouds tv! My take: Wale ambao hawakurudishiwa hela zao za tiketi utaratibu ukoje this time!
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Trafic wa kyela gari namba T 571 CGY linafanya safari za kyela boda nibovu kupitiliza kiasi na tumenusurika ajari mitaa ya kandete kwasababu gari inahama site yake kuingia site nyingine na lipo...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Mh Lukuvi mimi nakuomba sana utumie watu wako kufuwatilia shauri la kiwanja cha marehem Poul Yona Kira Vs Kirumbi ili haki itendeke. Kiukweli kabisa mkuu haki ya familia inataka kupeperushwa na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
SEHEM YA 1 Salaam Uzi huu unaweza kuwa ni ukumbusho kwa madereva wanaojisahau, elimu kwa wasiojua lkn tayar ni madereva na pia wale wageni wanachipukia kwenye fani ya udereva kwa magari binafsi...
4 Reactions
7 Replies
4K Views
Ahmed Rajab na Rais Mstaafu Jenerali Ibrahim Babangida Ahmed Rajab na Rais Mstaafu Jenerali Ibrahim Babangida KAMA kuna mtawala wa kijeshi aliyewaweza Wanigeria basi alikuwa Ibrahim Badamasi...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Tamisemi), Seleman Jafo ametoa siku saba kwa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam kumpa taarifa za juu maendeleo ya mradi wa stendi ya mabasi ya Mbezi- Luis jijini...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Sometime mtu unaweza jikuta una hard time sana katika maisha kwa mambo madogo.huyu jamaa ni mshakaji wangu kitambo sasa kama miaka 16. Mwka huu mwanzo alianzisha group la whatsapp. Mi nikaona tu...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Emanuel mbasha ambaye ni mume wa zamani wa flora kusekwa anatarajia kuita waandishi wa habari kutaja list yake nzima ya watumishi na watu wote wa karibu ambao ni mashoga MY TAKE: Kuna mtu...
2 Reactions
102 Replies
18K Views
Bila shaka hali zenu ni njema wakati tunaianza weekend Nije kwenye mada Wakati leo niko maeneo fulani jijini Dar es salaam kuna gari limepita likitangaza kwa wafanyabiashara ndogo waende sehemu...
1 Reactions
31 Replies
4K Views
1.Njombe UKIMWI sio kitu cha ajabu. 2. Arusha kama huna meno ya dhahabu unatengwa. 3. Manyara usipoua simba we shoga. 4. Mara mke akiwa hapigwi anaomba talaka. 5. Mwanza mtoto mchanga wa siku...
4 Reactions
44 Replies
6K Views
Ninaomba mwenye mawasiliano au kunifahamisha ofisi za Ali Express hapa tanzaniaau Agent wa Ali Express wauzaji wa bidhaa kwa njia ya mtandao anifahamishe.Niliagiza bidhaa yangu inaonyesha...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wakuu ni muda mrefu sana tumesubiri sana vitambulisho vya taifa hili zoezi arusha lilikamilika toka mwezi january Ni muda mrefu ila mpaka sasa hakuna update yoyote ya kutoka au kutolewa...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Ndugu zangu natumaini mko wazima wa afya njema. Yaani yanauomkuta mr Donald trump huku ktk nyuzi kama ingekuwa bongo nadhani watu wasiojulikana wangefanya kitu mbaya. Trump kabanwa sasa hivi, yuko...
1 Reactions
4 Replies
732 Views
Wakili Fatma Karume ameeleza kuwa amepokea maelekezo ya ‘mteja wake’ na anaendelea na mchakato wa kufungua kesi dhidi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwanasheria Mkuu wa Serikali...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom