BRELA; REKEBISHENI MFUMO WENU YA USAJILI MTANDAONI UWE RAFIKI NA RAHISI KWA KILA MTU

masara

JF-Expert Member
Jul 20, 2016
1,738
2,279
Kama kichwa cha habari kinavyosema. Nimekuwa najaribu kusajiri mara kwa mara lakini ni kama kuna ugumu fulani...
Kuna kipengele cha kujaza kitambulisho. Lakini sio wote wenye vitambulisho vya Taifa. Ila naona mmefunga kwa neno NIDA.
lakini pia hata namna ya mfumo mlivyoumeweka kwa maoni yangu haurahisishi kwa mtu ambaye hajazoea kusajiri mtandaoni itampa ugumu.
Halafu kwenye ukurasa wa kama umesahau neno la siri/nywira. Jaribuni kuogeza kisanduku cha kuandika email ili email ionekane yote na sio mtu unaandika huku herefu zinapotea.
Lakini sehemu ya kuingia kwenye a/c. Wekeni option/nafasi ya mtu kuamua kama anatumia jina au email yake.
Zaidi ya yote naomba mjifunze hata FACEBOOK AU JAMII FORUM Ili iturahisishie
 
Back
Top Bottom