Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari zenu.. Watanzania wengi sana kama walivyo waafrika wengine sio watu wakuwafikiria watu wengine linapokuja swala la kufanya maamuzi au kutunga sheria wakiwa na vyeo au mamlaka, na hata...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari, Kwa yeyote anaepatikana Singapore, South Africa na USA au mwenye ndugu, jamaa au rafiki katika mataifa hayo naomba tuwasiliane Nimepatwa na tatizo, Facebook page yenye wafuasi zaidi ya...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Ugua maradhi yote duniani, lakini usiombe ukutane na UKATA.
0 Reactions
3 Replies
941 Views
Watu watatu wa familia moja wamekutwa wamekufa ndani ya nyumba waliyokuwa wakiishi huku miili yao ikionyesha kuwa wamechinjwa. Tukio hilo lililotokea katika kijiji cha Mayamaya kitongoji cha...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kuna mdogo wangu alijiunga chuo cha upolisi CCP moshi mwezi wa 8 mwaka 2010 lakini hakuweza kumaliza mafunzo kwani alikuwa terminated mwezi wa 9 mwaka 2010 kutoendelea na mafunzo kwa kosa la...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Kijana adaiwa kuwaingilia wanawake kinyume na maumbile bila ridhaa Mwanaume mmoja mkoani Kigoma anayefahamika kwa jina la Teleza, ametajwa kuwaingilia watu hasa wanawake ambao hawajaolewa nyakati...
3 Reactions
43 Replies
9K Views
Habari Salamu kwa kila mmoja! Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nahitaji printer za aina hizo mbili ya kuprint dokomenti pamoja na picha, pamoja na ushauri wenu kwani nahitaji kufungua...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Kauli ya kuunga mkono juhudi ni version au kauli nyingine ya zidumu fikra sahihi za mwenyekiti!!...lakini kwa dunia ya sasa inawezekana kweli kila unachosema wewe kikawa saw a na kila MTU akawa...
0 Reactions
1 Replies
644 Views
Sehem ya 4 Ukaaji katika Siti Usahihi ni mgongo wako wote kuenea ktk sehem ya kuegemea, una uhuru wa kuinyoosha siti ya kuegeme au kuilaza kidogo, ukiilaza kidogo bas mgongo wote uifuate na...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
First time in Africa, the wings of Kilimanjaro Air Tanzania a national carrier for Tanzania is about to receive 2 brand new A220-300 aircraft in November, all paid in cash. It's time to get to...
1 Reactions
51 Replies
11K Views
Elimu ni jambo njema sana. Linamfanya mtu kufungua ubongo wake kwa mapana. Hata hivyo elimu tu haitoshi linapokuja suala la uongozi. Katika qualities za uongozi bora elimu ya madegree na maPhDs...
8 Reactions
39 Replies
4K Views
Salute.Niende kwenye hoja kuna huyu jamaa anaitwa ONNI SIGARA huwa namsikia sana clouds fm naomba mwenye wasifu wa huyu jamaa maana amekuwa akiulizwa misamiati ya kiswahili na kujibu kwa ufasaha...
0 Reactions
34 Replies
8K Views
Kesho historia inaandikwa. Serikali ya Tanzania itatiliana saini Mkataba na Kampuni ya ujenzi kutoka nchini Misri ambayo ilishinda Kandarasi ya ujenzi Wa Bwawa la kuzalisha Umeme la 'Stieglers...
16 Reactions
134 Replies
19K Views
Uzi huu ni kwa ajili ya wale ambao tunategemea mwajiri kutema mzigo kabla ya X mass... Kwa wale ambao hamna uhakika, mnaweza kuweka majina ya waajiri wenu and I will take a trouble to remind them...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Mkuu wa mkoa wa Dsm mh Paul Makonda katika salamu zake za kuaga mwaka amesema yeye ataukumbuka mwaka 2018 kama mwaka aliobahatika kupata mtoto yeye na mkewe Maria. Amedai baada ya kukaa miaka 6 ya...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
KARIBUNI KWENYE SEMINA YA NENO LA MUNGU
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Maafisa uajiri, hasa wakati wa mahojiano kwa ajili ya ajira(interview) huwa wanuliza maswali mengi sana.Mwishoni baada ya maswali huwa humuuliza muombaji iwapo na yeye ana swali lolote. Wengi...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Moshi. Mwanafunzi wa shahada ya kwanza ya sheria aliyekusanya fedha kwa ajili ya msiba wa rafiki, amefariki kwa ajali ya gari jijini Nairobi, siku moja kabla ya mazishi. Mwanafunzi huyo anayeitwa...
0 Reactions
23 Replies
6K Views
Naomba majibu ili niendelee na utafiti wangu
0 Reactions
18 Replies
4K Views
2018 umekuwa mwaka mgumu sana , kashikashi , msoto , vimbwanga na hofu za kila aina mwanzo mwisho ! Imezoeeleka kwamba, ikifika mwisho wa mwaka watu kurudi walikozaliwa ili kusheherekea sikukuu...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom