1. sindano ya kinga ya ugonjwa wa Ndui.
Ndui ni nini?
Ndui (
English. smallpox) ilikuwa
ugonjwa wa kuambukiza uliosababishwa na aina mbili za
virusi: Variola major na Variola minor.Ulikuwa unaleta
kifo cha waliopatwa kwa
asilimia 30-35, lakini zaidi kati ya
watoto.Walionusurika wengi waliachwa na ma
kovu ya kudumu hasa katika
uso.Inakadiriwa ulikuwepo miaka
10,000 KK hadi mwaka
1977.
Chanzo chake hakijulikani lakini kuna dalili ya kwamba ilitokea mapema sana katika
Misri ya Kale[1]. Kuna dalili ya kwamba
farao Ramses V alikuwa mgonjwa wa kwanza anayejulikana kutokana na utafiti wa
mumia yake
[2]. Labda imepelekwa Uhindini na wafanyabiashara Wamisri mnamo miaka 1500 KK. Ugonjwa uliua watu wengio huko Ulaya
[3], Asia na Afrika ilikosambaa pia.
Matokeo ya ndui yalikuwa mabaya hasa huko Amerika ambako
Waindio yaani wenyeji asilia waliwahi kuishi
milenia nyingi bila mawasiliano na bila
maambukizi kutoka sehemu nyingine za dunia hivyo walikosa kabisa kinga. Kwa mfano Wahispania waliweza kuvamia milki ya
Azteki huko
Mexiko kwa sababu wateteaji wa
Tenochtitlan walidhoofishwa na ugionjwa uliopelekwa hapo na Wahispania.
Mwaka
1967 tu ndui iliua watu
milioni mbili na katika
karne ya 20 kwa jumla milioni 300 au 500.Ni ugonjwa wa kwanza ambao
binadamu kwa njia ya
chanjo alifaulu kuukomesha.
2
. NI KITAMBULISHO CHA URAIA WA MTANZANIA .... Wakenya wanayo kwenye paja au mkononi sikumbuki vizuri... nayo ni ndui ila pia inabaki mwishowe kuwa alama ya raia wa Tanzania au Kenya. kama ndugu zangu wa Iringa/dodoma ambavyo huwachanja watu wao sehemu za usoni pembeni ya macho (miaka ya nyuma) kama utambulisho kujua mhusika ni wa kabila lao.