Habari za jioni wana-JF,
Nimeona nije hapa jukwaani kuandika haya machache, huenda kuna wanaopitia hali kama yangu au waliowahi kuivuka wakashare nami namna ya kukabiliana nayo.
Mimi ni mtu...
Wananchi wa kijiji cha Mogitu, wilayani Hanang mkoani Manyara, wamelalamikia kitendo cha kuchangishwa fedha kwa ajili ya ununuzi wa picha ya Rais na bendera ya Taifa.
Wakazi wa kijiji hicho wenye...
Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM – TAMISEMI), Sospeter Mtwale, amesema Serikali imejipanga kuhakikisha biashara ya kaboni nchini inatekelezwa kwa...
Kama waziri mkuu mwenye kubeba zamana ya nchi na unajifanya mwenye uchungu na nchi kuvaa bendera kumbe sivyo.
Tuna fahamu uchaguzi ni batili na bado mkajipa vyeo kama wewe kuwa waziri mkuu...
Yas wanatumia vibaya uaminifu tuliowapa, nimeweka pesa kwenye kibubu kuhifadhi tu lakini wawezizua hazitoki na hawana majibu ya kueleweka salio la kibubu ni 0.
Lakini wanadai pesa ipo haijatoka...
JENEZA LAZIKWA TUPU MWILI WASAHAULIKA NDANI
Tukio la kushangaza limetokea katika kijiji cha Ikuti, kitongoji cha Kinyika, kata ya Ikuti wilayani Rungwe mkoani Mbeya baada ya wananchi waliokuwa...
Nimejaribu kuangalia mitoko ya watu wakubwa,matajiri,mastaa wa michezo ata viongoz wa kisiasa uku duniani naona hawajazipokea kwa mikono miwili saa za smartwatch je ni woga wa kiteknolojia...
Kikosi cha mastaa zaidi ya 10 kutoka Kabila la Wangoni kinatarajiwa kuonekana jukwaani siku ya Wakunyumba Traditional Party, wote wakiwa masupa staa wa sanaa mbalimbali.
Kwa mujibu wa muandaaji...
Tukiwa tunasubiri uchunguzi wa police
Nimeshtuka kauli ya David Jumbe kuwa alisikia lafudhi ya aliyekuwa akiongoza genge la waliomteka alikuwa Mzanzibari
Na alisisitiza kuwa Jumbe asipelekwe...
Hapa tuseme KIMEUMANA, Polisi kazi wanayo!!
Habari zenu wanajukwaa!
Hii habari ya morani wa kimasai kumuua bosi wao ambaye ni "MUWEKEZAJI" toka nchini China imenifikirisha sana...
Habari ya hasubuhi.
Sio kwa nia mbaya ni vile watanzania wengi hatujui sheria na katiba kwa hyo ningependa kufahamu hasa majibu kutoka kwa huyu mwandishi wa habari na wakili wa kujitegemea.
Kuna...
Wakuu ! Salam haisaidii zaidi ya mikakat na ushaur wenu. Nkmekuwa naishi kama ngedere au "guruguja" yani kila zahma balaa tupu. Nimegubikwa na mikopo nadaiwa mpaka na songesha na mshahara kwa...
My Take
Naunga mkono hoja ya mdau aliyetolea mfano wa Ghana kuwakilisha Afrika.
Wabeba Maboksi walioko Ulaya na USA zaidi ya kutumika Kisiasa sidhani kama Wana jipya.
Watu wajifunze Kwa...
Taifa letu limeingia katika kiza kizito ambacho hatukuwahi kufikiria ,wakati tunaomboleza vifo vya wenzetu 500+ walipoteza Maisha wakati wa uchaguzi bado mioyo ya watu wengi haina faraja na...
👉Wahubili wengi wanashindwa kueleza kwa uhakika kwanini watu waovu wengine wanaishi maisha mazuri huku waadilifu wakiteseka kila siku.
👉Swali la kwanini maombi ya baadhi ya waumini...
👉Mshukiwa mmoja mwenye silaha ameangushwa kwa risasi baada ya kuanzisha mashambulizi ya ghafla dhidi ya checkpoint ya Secret Service nje ya White House, tukio lililosababisha mfumo mzima wa ulinzi...
Ifike mahali viongozi waseme kitu maana kila siku tunaona vijana wanalalamika hawajalipwa pesa.
Leo hamshauri hii, kesho huku. Inaonekana ni halmashauri nyingi hawajalipwa. Wengine wanadai toka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.