👉Mshukiwa mmoja mwenye silaha ameangushwa kwa risasi baada ya kuanzisha mashambulizi ya ghafla dhidi ya checkpoint ya Secret Service nje ya White House, tukio lililosababisha mfumo mzima wa ulinzi...
Ifike mahali viongozi waseme kitu maana kila siku tunaona vijana wanalalamika hawajalipwa pesa.
Leo hamshauri hii, kesho huku. Inaonekana ni halmashauri nyingi hawajalipwa. Wengine wanadai toka...
“Logic is a practical science of correct thinking.”
Hii si sentensi ya darasani tu. Ni msingi wa ustaarabu wa mwanadamu. Ni tofauti kati ya jamii inayotafuta ukweli na jamii inayotafuta...
Sikuwahi Kufikiria Kama hata sisi wanaume tupo wenye tabia za ajabu kiasi hiki, itoshe kusema imetuumiza sana.
Iko hivi, sisi tuko washikaji wa nne na wote tumeoa ila tulikuwa hatuja Jenga, wote...
Kwa waliowahi kutembelea Vikindu Ecologial garden watakuwa wamewahi kukutana na ujinga fulani wa wafanyakazi wa pale. Unapokuwa mkimya basi wao wanadhani wamekupata kwelikweli na hudhani wanajua...
By experience nmefanya kazi migodini kwa zaidi ya miaka 15, sio Barrick wala AngloGoldAshanti kote huko mimi ni uwanja wa nyumbani.
Ila leo nimekaa nikafikiria hivi kweli wanaoingiaga hii...
Hapa ni Pongwe Mkoa wa Tanga, Mkandarasi kamwaga kifusi kina tope ambacho kimekuwa ni kero kubwa kwa wananchi kipindi hiki cha mvua ni takribani miezi mitatu sasa, hakuna dalili zozote za...
Na DR. ZACK ✍️
Katika dunia ya leo, ushindani wa mataifa haupimwi tena kwa ukubwa wa jeshi au wingi wa rasilimali pekee. Mataifa sasa yanashindana kwa ushawishi wa kimataifa, uwezo wa kuvutia...
Ni nadra sana katika sehemu nyingi zenye Zebra crossings ambazo hakuna traffic police karibu kukuta madereva wa magari, Bajaji au Bodaboda wakiheshimu na kuruhusu watembea kwa miguu kuvuka.
Ni...
Habari
Aisee hili suala ni zito sana, unakuta ofisi nzima anaejua kutumia computer ni mmoja tu
Walimu ndo takataka kabsa kati walimu 10 ni mmoja ndo anajua kutumia computer au unaweza kuta wote...
Nimeona taarifa ya DC mmoja akikemea utupaji taka kwenye Fukwe za Bahari ya Hindi. Taka zinazotupwa beach ni chache, kwani nyingi huingia kupitia mabonde ya mito inayopeleka maji baharini...
Okey, Rio hapost chochote kwenye mitandao yake ya kijamii kuhusu uwepo wake Tanzania, nakubaliana nae kuwa hapangiwi katika hilo. Huenda yeye na mkewe ni wakubwa kuliko Tanzania kama Nchi hivyo...
Binafisi napenda sana vitumbua tena sana. Mfano Leo hii nimeingia mgahawani nikaagiza vitumbua 15 hadi muhudumu akashangaa na vilipoishia nikaagiza aongeze vitumbua3. Nikalipia nikaenda zangu...
Wakisema ambao hawajashika milioni 10 toka mwaka uanze wauliwe vp utapona , mimi siri yangu sisemi ila ukweli naujua mwenyewe vp wewe , watafutaji wote Mungu atufungulie milango ya riziki
Hiko...
Hivi kwa nini licha ya kuwa jirani na Rwanda bado hatujapata motivation ya kufanya majiji yetu yawe masafi?
Tuna majiji sita tu
1. Dar es Salaam
2. Mwanza
3. Arusha
4. Dodoma
5. Tanga
6. Mbeya...
Mimi ni Mkazi wa Jijini arusha, nina malalamiko yangu juu ya mamlaka ya Maji Arusha niliomba muunganisho wa maji mapya na wakanipa gharama za kulipia, nikalipia kwa muda muafaka ila cha kushangaza...
Kule mnaitwa "abeed" , yani mtumwa, ni jina lililozoeleka kumuita ngozi nyeusi yoyote karne na karne ila huku unatoa mimacho ukiwa unakomenti kwa hasira wakati kule utalazwa chooni maana hauna...
Hii ni barabara kutoka Ubena Zomozi kwenda Ngerengere kwa mujibu wa mkataba ilitakiwa kujengwa ndani ya siku 365 ila mpaka sasa ni miaka 2 inaisha ila hakuna jitihada zozote kumalizika imebaki...
Kuna mstari usioonekana unaokatiza maisha yetu—mstari mwembamba sana, lakini wenye nguvu kuliko tunavyodhani. Ndani yake, sisi ni kitu kimoja. Nje yake, tunasambaratika bila kelele.
Ndani ya...
Wilaya ya Ngara ina mahakama nyingi za mwanzo ambazo hazina mahakimu. Unakuta hakimu mmoja anatembelea zaidi ya mahakama tatu hii inashusha weledi kwa kuwa umbali wa kituo kimoja mpaka kingine ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.