OPERESHENI YA SIRI YATIKISA WHITE HOUSE✍️

OPERESHENI YA SIRI YATIKISA WHITE HOUSE✍️

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
553
Reaction score
517
👉Mshukiwa mmoja mwenye silaha ameangushwa kwa risasi baada ya kuanzisha mashambulizi ya ghafla dhidi ya checkpoint ya Secret Service nje ya White House, tukio lililosababisha mfumo mzima wa ulinzi wa rais wa Marekani kuingia kwenye hali ya “maximum lockdown”.

👉Taarifa kutoka vyanzo vya ndani vya usalama zinaeleza kuwa sekunde chache baada ya mshukiwa huyo kufungua moto, vikosi vya Counter Assault Team (CAT), snipers wa rooftop, pamoja na tactical response units walipewa ruhusa ya kutumia deadly force kumneutralize mshambuliaji huyo kabla hajapenya ukuta wa ndani wa usalama.

👉Rais wa Marekani, Donald Trump, alidaiwa kuwa ndani ya White House wakati operesheni hiyo ya dharura ikiendelea, huku emergency intelligence brief ikipelekwa moja kwa moja ndani ya presidential security command center.

👉Vyanzo vya kiintelijensia vinaamini tukio hilo linaweza kuwa sehemu ya operesheni iliyopangwa kwa muda mrefu, ambapo wachunguzi wa FBI, Homeland Security na Secret Service wameanza kuchunguza mawasiliano ya siri, mienendo ya mshukiwa, pamoja na uwezekano wa kuwepo kwa sleeper cells zilizokuwa zikifuatilia mfumo wa ulinzi wa White House.

👉Mashuhuda waliripoti kusikia milio ya risasi mfululizo kabla ya eneo lote la Pennsylvania Avenue kufungwa ghafla, huku magari meusi ya tactical convoy, maafisa wenye vifaa vya kivita na helicopters za surveillance zikionekana kutawala anga la White House.

👉Ndani ya dakika chache baada ya shambulio hilo, mfumo wa electronic surveillance, facial recognition, pamoja na movement tracking uliwashwa katika maeneo yote ya karibu ili kubaini kama kulikuwa na washirika wengine waliokuwa wamejificha karibu na perimeter ya White House.

👉Mpaka sasa mamlaka za Marekani zimeendelea kuficha utambulisho wa mshukiwa huyo pamoja na taarifa zake za kiintelijensia, jambo linaloonyesha kuwa faili hilo limehamishiwa kwenye uchunguzi maalum wa kiwango cha "national security threat",

👉Wachambuzi wa masuala ya ulinzi wanaamini tukio hilo limeacha alama nzito ndani ya vyombo vya usalama vya Marekani, huku wengine wakidai kuwa huenda kulikuwa na jaribio la kupima uimara wa mifumo ya siri inayolinda rais wa Marekani✍️🇺🇲
nguchiro47_20260524__2058575295775449598_8_2058575154267983872.jpg
nguchiro47_20260524__2058575295775449598_1_2058575097166725120.jpg


 
Back
Top Bottom