Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

TAARIFA KWA UMMA Uongozi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi umeona taarifa katika mitandao ya kijamii kuhusu changamoto ya ukosefu wa Mochwari katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi...
0 Reactions
1 Replies
150 Views
Kwangu mimi ni mahojiano bora sana kuwahi kufanyika. Jamaa wameongea mengi bila chenga chenga. Wamefunguka sana. Mimi nilichogundua ni kuwa hali ya kifedha (mishahara) kwenye media houses ikiwemo...
6 Reactions
22 Replies
693 Views
Mwanamke Ghali Zaidi Ni Yule Anayeondoka Baada Ya Kujengwa Wanaume, Wanawake wanaowaumiza wanaume kifedha sio wale wavivu pekee. Mara nyingi— ni wale wanawake ambao mwanaume aliwasaidia...
1 Reactions
0 Replies
213 Views
✓Bidhaa za Tanzania zaanza kukamata masoko nje ya nchi. ✓Ni baada ya kuzalisha zaidi na kutosheleza soko la ndani. ✓Changamoto aliyorithi ya uhaba wa sukari ameigeuza fursa.
3 Reactions
6 Replies
96 Views
Tangu utotoni nasikia tu Miss World, why sisikii Mr World? Kunahitajika kuwepo kwa Mr World ili dunia ijue kua wanaume wazuri/handsome wapo na mchango wao katika maisha. Kama ikiwezekana tuanze...
3 Reactions
34 Replies
537 Views
Mfumo wa kubadilisha umiliki wa magari nchini Tanzania umejaa vikwazo vingi visivyo na ulazima. Hii ndiyo sababu leo utakuta magari mengi yanatumika na watu tofauti kabisa na wale waliopo kwenye...
3 Reactions
6 Replies
297 Views
Sikiliza wimbo toka Arusha?
5 Reactions
3 Replies
184 Views
Tafiti nyingi zinaonesha kwamba sehemu kubwa ya vijana wa kizazi cha Gen Z hawahudhurii nyumba za ibada (Msikitini&Kanisani) mara kwa mara kama vizazi vilivyopita, lakini si kwamba wote wameacha...
2 Reactions
10 Replies
333 Views
Kisa Cha mwanamke aliyekuwa anatokwa na damu kwa miaka 12 kinapatikana katika injili ya Mathayo 9:20-22, injili ya Marko 5:25-34, injili ya Luka 8:43-48 katika bibilia. Isivyobahati, Katika...
5 Reactions
102 Replies
1K Views
Millennials tukaze buti 😅. Hawa Gen Z wanaingia kwenye game wakiwa na uelewa mkubwa wa kutengeneza pesa kuliko vizazi vilivyopita. Vijana wa 2000 wao bado wadogo lakini honestly wako very sharp...
7 Reactions
51 Replies
703 Views
Pori la Mbweni na Ununio ambayo ni sehemu Moja kijiogrofia au yanapakana yameukuwa tishio Kwa maisha ya watu Mfano 1. Mzee Ali Kibao alitekwa na baadae mwili wake ukakutwa umetupwa kwenye pori...
9 Reactions
26 Replies
757 Views
Na Dr. Zack ✍️ ▪️Aonya dhidi ya vitendo vya uchochezi, kujiteka na propaganda zinazolenga kuwagombanisha Watanzania ▪️Asema Serikali imejikita kusikiliza wananchi na kutatua kero zao badala ya...
0 Reactions
6 Replies
178 Views
KUTEKWA, KUPOTEA, KUTESWA, KUPATIKANA KWA SATIVA Edga Mwakabela (Sativa225) Maelezo yote yametoka katika kinywa cha Edgar Edson Mwakabela (Sativa255) ambaye alitekwa jumapili 23.06.2024 Darces...
21 Reactions
155 Replies
11K Views
Siku moja, Albert Einstein alikuwa ndani ya treni akitoka Chuo Kikuu cha Princeton. Kondakta akaanza kupita kukagua tiketi za abiria mmoja mmoja. Alipomfikia Einstein, mzee akaanza kupekua mifuko...
7 Reactions
42 Replies
699 Views
It is encouraging to see Tanzania being recognized internationally for economic growth and development. We believe even greater opportunities lie ahead for our nation
1 Reactions
1 Replies
88 Views
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam linaendelea na majukumu yake ya msingi ya kuzuia vitendo vya kihalifu na kwa ujumla hali ya Jiji ni salama. Hata hivyo tarehe 14 Mei, 2026 majira ya saa...
3 Reactions
21 Replies
516 Views
Kuna mil 20 inazaga zagaa hapa nataka niwekeze kwenye hisa za NICO... Wajuvi mwongozo wenu tafadhali
0 Reactions
3 Replies
281 Views
  • Redirect
Watekaji wajulikana😂😅😆😄😃
0 Reactions
– Replies
– Views
Back
Top Bottom