Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha, Kamishna Msaidizi wa Polis (ACP)Zauda Mohamed, amewaomba wamiliki na madereva wa vyombo vya moto vinavyotoa huduma za usafirishaji maarufu...
Wanawake wanaojiuza hupewa majina mabaya. Kama malaya, changudoa, vicheche, milupo na mengineyo. Wanaume ambao ni wanunuzi huonekana ni wajanja wa wa 'tauni' wanaojua chimbo zote za wajasiriamili...
Fasheni imegeukia makalioni kwa mabint, show off mitandaoni lazima ajibinue, mtaani lazima ayabane na kanga, zamani walikuwa wanaliazimishwa ila siku hizi anakuambia mwenyewe na usipomuomba...
Habari Naomba kutuma kero ya kata ya 14 Temeke Dar-es -Salaam yadi ya malori mtaani ni kubwa, yanapaki magari mbele ya nyumba za watu na magari hayo Hayo yanakata wire za umeme.. Maafisa wa...
Habari za muda huu wanajf ,
Kuna msemo wa Kiingereza unasema, "The world belongs to those who read." Katika ulimwengu wa sasa ambao taarifa (information) zinapatikana kwa wingi, uwezo wa kuchuja...
Nimekaa na kutafakari maisha ya mawakili wetu vijana nchini hawa tunaowaita wakili msomi. Siku hizi fani hii imepoteza hadhi yake kiasi kwamba vijana wengi mtaani wanaiona kama kazi ya kawaida tu...
Mt 28:12-13 SUV
[12] Wakakusanyika pamoja na wazee, wakafanya shauri, wakawapa askari fedha nyingi, [13] wakisema, Semeni, ya kwamba wanafunzi wake walikuja usiku, wakamwiba, sisi tulipokuwa...
Sipo hapa kuleta ligi. Mimi ni mkristo, kuwa mkristo haimaanishi hutakiwi kunifunza au kuuliza. Nauliza nijue ili kuamini zaidi badala ya kuamini juu juu tu.
Sihitaji kujua HOW(jinsi gani) hayo...
Upelelezi wa Jeshi la Polisi ulifanikiwa kuwaokoa wahanga hao tarehe 16 huko maeneo ya Mbezi Beach Kinondoni. Watekaji waliwatake na kudai ndugu wawapw Dola za Kimarekani Milioni moja 20 ili...
Leo Lucas kaanzisha Thread anasema Mama amebadilisha maisha ya Watanzania
Mimi nikamjibu kwa picha kumuonesha maisha ya Watanzania
Sasa hizi ni picha za Mbeya, nimemwonesha akauona umasikini...
Habari wakuu?
Je kwa muktadha huu ni nini maoni au ushauri wako?
Karibuni
Pastor Neema anaeleza kwa uwazi matumizi ya sadaka zinazotolewa kanisani, akisisitiza kuwa sadaka hizo haziendi mbinguni...
Hopefully wote mko salama.
Naombeni majibu tafadhali,
Hivi ni kweli kwamba Ngono inapunguza nguvu za kiroho..?
Suppose mtu yuko kwenye trend safi ya kiroho, anafunga, anasali, anaomba and...
Mtakatifu Rita alizaliwa tarehe 22 Mei 1381 huko Kashia (italia). Alibatizwa akaitwa Margarita, tangu utoto wake aliazimia kumtumikia Mungu katika Konventi ya Mt. Austino huko Kashia, lakini...
Ni miezi sita kasoro sasa tangu ajira yangu ya mkataba Serikalini ikome. Mwezi wa nne nilifanya maombi ya mafao ya special lump sum nikiwa na baadhi ya wafanyakazi wenzangu, ambao baada ya...
Leo Jumatatu Mei 25, 2026, Mwenyekiti wake wa Taifa, Tundu Lissu, anatarajiwa kufikishwa mahakamani kwa ajili ya kusikiliza maombi yanayohusu kuunganishwa kwake katika kesi ya mali za chama...
Biblia inasema Hesabu 11:21
"Lakini Musa akasema, 'Watu ninao pamoja nami ni laki sita (600,000) wanaotembea kwa miguu; nawe wasema, 'Nitawapa nyama, wapate kula kwa mwezi mzima!"
Qur'ani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.