The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 9,265
- 20,526
Mzuqa
Mda siyo mrefu natinga hapo Dar halafu ntaelekea Arusha kwaajili ya mapumziko ya Kristmas na kukimbia hili pupwe kwa muda.
Nimenunua Drone Amazon. Sasa nataka nikifika Dar tu sitaji siku nataka kuirusha kwa utafiti na for fun.
Nitaanza kuirushu anga ya makumbusho na kijitonyama. Nitaielekeza pia iruke anga karibu na Mo alipotekwa akienda gym. Nitairusha maeneo ya Ferry.
Nitairudisha juu ya bahari hadi kawe nakupita lugalo hadi makongo juu.
Nitazidi kuilekeza maeneo ya kipawa ukonga na gongo lamboto.
Pia for fun tu maeneo ya salasala. Licha ya Dar es salaam nataka niirushe hadi ngerengere.
Kuna utafiti yakinifu nafanya kuhusu global climate change and rising sea level.
Yeereeeeeh!