Wachagga twendeni Moshi, nyumbani kumenoga

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
11,190
Reaction score
24,620
Habari wanajukwaa
.
.
ni wakati muafaka wa sisi wachaga kwenda moshi kama kawaida mwisho huu wa mwaka
.
.
Huu ni utamaduni nzuri mno sio kwa wachaga tu hata kwa jamii nyingine kama wakikuyu nk
.
.
Mimi nina msemo wangu wa kichaga huwa nasema "Kyen ni nkyen da hata kama nsaken" yaani nyumbani ni nyumbani tu hata kama ni porini
.
.
Moshi kumenoga jamani mimi nikifika njia ya machame konda nishushe🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻

mungu ibariki tanzania
Mungu ibariki MOSHI

Msoro wa kimaro (kimsboy)
 
Duh! Mabandiko yako sikuwahi kuwaza kuwa wewe ni Mchaga
 
Habari wanajukwaa
.
.
ni wakati muafaka wa sisi wachaga kwenda moshi kama kawaida mwisho huu wa mwaka
.
.
Huu ni utamaduni nzuri mno sio kwa wachaga tu hata kwa jamii nyingine kama wakikuyu nk
.
.
Mimi nina msemo wangu wa kichaga huwa nasema "Kyen ni nkyen da hata kama nsaken" yaani nyumbani ni nyumbani tu hata kama ni porini
.
.
Moshi kumenoga jamani mimi nikifika njia ya machame konda nishushe[emoji1317][emoji1317][emoji1317][emoji1317][emoji1317][emoji1317][emoji1317]

mungu ibariki tanzania
Mungu ibariki MOSHI

Msoro wa kimaro (kimsboy)
Mumeanza matatizo yenu nendeni mkatambike[emoji23][emoji23]
 
IMG_20181207_155732.jpg

Kilimanjaro express korogwe
 
Mchaga wa iran ,wasalimie MO town,kibosho, machame
 
Habari wanajukwaa
.
.
ni wakati muafaka wa sisi wachaga kwenda moshi kama kawaida mwisho huu wa mwaka
.
.
Huu ni utamaduni nzuri mno sio kwa wachaga tu hata kwa jamii nyingine kama wakikuyu nk
.
.
Mimi nina msemo wangu wa kichaga huwa nasema "Kyen ni nkyen da hata kama nsaken" yaani nyumbani ni nyumbani tu hata kama ni porini
.
.
Moshi kumenoga jamani mimi nikifika njia ya machame konda nishushe[emoji1317][emoji1317][emoji1317][emoji1317][emoji1317][emoji1317][emoji1317]

mungu ibariki tanzania
Mungu ibariki MOSHI

Msoro wa kimaro (kimsboy)
Tunakuja nyumbani ila bado muda @ kimaro
 
Hii habari hainogi manake naona hujaweka neno iran kama kawaida yako
 
Back
Top Bottom