nimetoa rushwa mzani wa Uyole-Mbeya

nimetoa rushwa mzani wa Uyole-Mbeya

Freightliner

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2013
Posts
721
Reaction score
530
ni jana tar 20/12 mida ya 2330 niliwabembeleza niwape elfu 30 wakanikazia elfu 50 ili nipitishe gari wasalaaaam kwao
 
ni jana tar 20/12 mida ya 2330 niliwabembeleza niwape elfu 30 wakanikazia elfu 50 ili nipitishe gari wasalaaaam kwao
hao jamaa wa mzani wa uyole wananjaa vibaya sana kuna kadada kamoja keus kembamba kakorofi sana ukifikahapo kanakutafutia sababu na kutengeneza mazingira ya rushwa watu wajabu sana kuna hako kadada na jamaa mmoja jank mweupe hivi kunasiku nimegombananao sana hapo
 
ni jana tar 20/12 mida ya 2330 niliwabembeleza niwape elfu 30 wakanikazia elfu 50 ili nipitishe gari wasalaaaam kwao
Kwa kuwa mkono wa sheria itakuwa ngumu kukufikia, nenda ukatubu kwenye nyumba ya ibada kwa dhambi uliyoifanya
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] huko kuchomeana aisee utafanya wazee wa kazi waweke mitego pale
 
Ha haa. Siku moja walinikamata na magunia ya vitunguu eti yamezidi kg 100. Nikawaambia sitoi kitu. Wayashushe hayo magunia tuje tuyapime tena baada ya siku tatu waone yatabaki na kg ngapi.
Nilipoenda kuangalia doc ya Weight n measures, wameelezea max weght ya magunia ya mazao yote isipokuwa vutunguu kwa kuwa wanajua uzito wa vitunguu hubadilika kutokana na mazingira.
 
Naona unafikisha ujumbe kiaina
Wapo njiani wanaenda kuwashuqhulikia wajiandae tu
 
hao jamaa wa mzani wa uyole wananjaa vibaya sana kuna kadada kamoja keus kembamba kakorofi sana ukifikahapo kanakutafutia sababu na kutengeneza mazingira ya rushwa watu wajabu sana kuna hako kadada na jamaa mmoja jank mweupe hivi kunasiku nimegombananao sana hapo
wapuuzi sana wale watu
 
Back
Top Bottom