Humu JF hatutoi likes bila maelezo ya kutosha labda uende FacebookWeka like hapa endapo unafatilia tamthilia ya Sultan
Sumbura alisha nyongwa kitambo tu
Soon Tutegemee kumuona mmoja wa nyota wa tamthiriya ya sultan akitua nchini kwenye kilele cha Film FestivalWeka like hapa endapo unafatilia tamthilia ya Sultan
Wanaume wa dar watakuja kutoa likes
Ila sie wa mkoani tulikuwa tunafuatilia Jumong,Bidam,land of the wind.
Hivi imekuaje mtoto mkali kama Feruze wampeleke uhamishoni kisa fitna za bi mjengo Hurrem..?
Sio itakuwa kahasiwa ni kweli kahasiwa, yeye, gula, kilaza, urojo ndio kanuni za harem yao.Yupo tele, nadhani atakuwa kahasiwa yule,vinginevyo si kwa kujipendekeza Kule.
Wacha uongoSumbura alisha nyongwa kitambo tu
Now Sterling Mkuu Hurrem kasalim amri kwa Ibrahim Pasha, kaomba suluhu yaishe waache bifu zao.Sio itakuwa kahasiwa ni kweli kahasiwa, yeye, gula, kilaza, urojo ndio kanuni za harem yao.
Inachoniboa tamthilia mtunzi amependelea sana hurrem japo ni Sterling amechezesha kama asieshindwa. Alafu anamchezesha pasha kama zumbukuku kwenye maamuzi ya kila simu ya maisha wakati huo huo anamchezesha kama mwenye akili nyingi sana katika utawala na ndie amemsaidia Suleiman kufika aliko.
Kwa mfano, juzi hurem kamuwekea majambazi wamuue lakini kafika kwa sultan hamwambii ukweli. Sawa tukubali anaona suleman asikii aambiliki kwann asimuombe Rafiki yake waweke mtego ajue sura halisi ya Hurem. Hapo ndipo inaboa japo ndio kufanikiwa kwa mwandishi kutuudhi.
Huyo ni Ngoma ya Mfalme Suleiman, Mtawala wa Dunia, hakuna anaeweza kuthubutu kumfukuziahuyo sultan ni mwanamke mzur nn mbona watu wengi wanamfatilia hakuna aliyekubaliwa?
Huna jibu jingine?..umekariri ##nenda facebook##Humu JF hatutoi likes bila maelezo ya kutosha labda uende Facebook