Wakuu naomba kujuzwa juu ya hii kadi. Niya kuchukulia dawa za vvu au ni taree ya kurudia vipimo.

Am the One

JF-Expert Member
Nov 1, 2018
901
885
Karibu wadau mnijuze.
IMG_20181221_083453_114.jpg
IMG-20181219-WA0001.jpg
 
Ya kuchukulia dawa hiyo ukifungua ndani utaona tarehe ijayo kwenda kuchkua dawa imeandikwa au tarehe aliyochukua mara ya mwisho na kituo cha kuchukulia
Utamuua mwenzako mkuu,akifungua ndani wapi sasa wakati hicho kikadi kina upande wa mbele na nyuma tu?:D:D:D
 
We umeitoa wapi? Maana kama ni yako ungekuwa na majibu
Kuna demu wng nimemwambia tukapime akanitumia hio, nimesha wahi kupima mara kadhaa lkn nilipewa kadi ya kuridia baada ya mienzi 3 sio sita..
 
Kuna demu wng nimemwambia tukapime akanitumia hio, nimesha wahi kupima mara kadhaa lkn nilipewa kadi ya kuridia baada ya mienzi 3 sio sita..
Kwa hiyo hujamuamini. Basi na wewe nenda ukapime kivyako tuje tulinganishe kadi
 
Back
Top Bottom