PAYE imeongezwa Kimyakimya? Mbona mishahara imekatwaa?

PAYE imeongezwa Kimyakimya? Mbona mishahara imekatwaa?

Salender bridge, njia nane, tazara flyover, air bus, srg hivi hii miradi yote tunajenga kwa pesa zetu za ndani unafikili titazitoa wapi tusipo zikusanya kutoka kwenu mkuu? Emu siku nyingine jifunze kuwa mzarendo.
 
...
tapatalk_1487846269371.jpeg
 
Mkuu,, huko sisi tushatoka,, kwa sasa tunajadili namna ya kutafsiri neno "uziduaji" huko pia kuna mikataba ya mafuta na gesi,,
 
Back
Top Bottom