Mbona Manyika jana hakuwepo Surrender bridge

Mbona Manyika jana hakuwepo Surrender bridge

Range rover

Senior Member
Joined
Nov 22, 2016
Posts
186
Reaction score
199
Wadau juzi nilimsikia J.mnyika na cdm wenzake waki mbeza mkulu mara sijui demografia cjui fidia na pongezi za kumuunga mkono,alivyo maliza akaropoka sijui Mbowe atoke mahabusu,saaasa mbona jana sikumuona??Kwanini asingeenda tena kwenye tukio la jana,ana akili kama yule jamaa wa zobher house.
 
Wadau juzi nilimsikia J.mnyika na cdm wenzake waki mbeza mkulu mara sijui demografia cjui fidia na pongezi za kumuunga mkono,alivyo maliza akaropoka sijui Mbowe atoke mahabusu,saaasa mbona jana sikumuona??Kwanini asingeenda tena kwenye tukio la jana,ana kama yule jamaa wa zobher house.
Golikipa manyika alikuwa na game uwanjani.
 
Wadau juzi nilimsikia J.mnyika na cdm wenzake waki mbeza mkulu mara sijui demografia cjui fidia na pongezi za kumuunga mkono,alivyo maliza akaropoka sijui Mbowe atoke mahabusu,saaasa mbona jana sikumuona??Kwanini asingeenda tena kwenye tukio la jana,ana akili kama yule jamaa wa zobher house.
A nation of lumpen proletariats! A nation of class unconscious people, LIKE YOU!
 
Watumishi fanyeni hujuma indirect dhidi ya serikali hii onevu kwenu ni miaka 3 hakuna ongezeko la mshahara na maslahi yenu yanazidi kukandamizwa.
Wewe wape kiburi tu wajione wanaweza kumbuka wasomi kibao tupo kitaa na mavyeti yetu tukizisaka nafasi zao.

Watakapo kosa vibarua vyao nadhani wewe ndo utawaconsole mzee [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
hakuna msomi mtaani , kuna chekechea za vyuo vya UPE. Msomi hajawahi kosa kazi!
 
Kapimwe tezi dume wewe, halafu nani kakwambia tumekosa kazi??? Uelewa wako mfinyu kama piriton
Ndio maana nakwambia wewe ni kutoka UPE! Tezi dume has nothing to do with mental ability! Kwa hilo tu wewe ni kutoka vyuo vya UPE. Ukiona "msomi" anaongea mambo ya piriton ujue huyu nu kapoot!
Piriton is not a small molecule, ndio maana nasema ukiona mtu anajiita msomi anasema mambo ya udogo wa piriton tema mate!
Hii siyo simple molecule!
Molecular Formula:C16H19ClN2
Molecular Weight: 274.792 g/mol
 
Huenda akupata mwaliko na hata yule ambaye alimpa mwaliko iliopita katandikwa na barua ya onyo
 
Watumishi fanyeni hujuma indirect dhidi ya serikali hii onevu kwenu ni miaka 3 hakuna ongezeko la mshahara na maslahi yenu yanazidi kukandamizwa.
Wache walielie tu kizembe oh nimekatwa 30,000 bila ya maelezo...wanyooshe jiwe baba!
 
Kapimwe tezi dume wewe, halafu nani kakwambia tumekosa kazi??? Uelewa wako mfinyu kama piriton
You must be cheap! cheap in all aspects of life! Everybody is a candidate/prone ( to) of Tezi dume, it might be you tommorow after 40 yrs. nakupa elimu. kesho ukifika 40+ yrs you can be one of the victims of age related prostate gland complications!
 
Hahahaha hakika msomi hajawahi kukosa
Muhimbili wanahitaji walimu/tutorial assistants wenye 3.8 GPA MDs (from renowned universities-siyo Kampala Univ).. kama unayo kazi tele. na hakuna anyeweza kumwacha mtu mwenye GPA ya 3.8 and above! Imaculata Mosha from marian Girls , TO, yuko Microsoft USA! walimtafuta wenyewe na wala hakuomba kazi!
 
You must be cheap! cheap in all aspects of life! Everybody is a candidate/prone ( to) of Tezi dume, it might be you tommorow after 40 yrs. nakupa elimu. kesho ukifika 40+ yrs you can be one of the victims of age related prostate gland complications!
Mzee leo umechafukwa sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom