Waarabu wa sasa na Uarabu feki

Waarabu wa sasa na Uarabu feki

Vibranium

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2018
Posts
236
Reaction score
515
Ni kama vile vijana wengi wakiafrika walivyokuwa waki-copy lifestyle za waamerica weusi sanasana miaka ya 90 mpaka 2000, tulishuhudia mpaka wakibadili namna ya uvaaji iendane na ile ya wamarekani weusi, na ndivyo hawa wanaojiita waarabu na kutuaminisha kuwa wao ni waarabu walivyojibadilisha na kujivisha identity ya uarabu.

Tuanze kuwekana wazi waarabu wenyewe asilia hawakuwa weupe kama hawa wa leo, ukifuatilia historia utagundua chimbuko la waarabu linaanzia kwa Ismail, ambaye ana damu ya mtu mweusi kwa upande wa mama yake ambaye alikuwa ni mmisri, lakin pia baada ya Ismail kuondoka na mama yake, na kwenda kuanzisha makazi sehemu nyingine, akiwa huko na mama yake, alipofikisha umri wa kuoa mama yake alimpeleka misri ambapo ndipo alikuja kuoa mwanamke (mweusi, kama mama yake) wa kimisri, na kuondoka nae kurudi eneo alilokuwa akiishi na mama yake ambalo ndio eneo maarufu nchini saudi arabia kwa sasa (MAKA). Na ismaili na uzao wake ndo waasis wa jamii/kizazi kilichoitwa waarabu.
=Swali hawa waarabu weupe wa leo wanaojiita na wao waarabu huu uarabu wameutoa wapi??. Tafiti za kihistoria zinadai kipindi hicho hawa jamaa hawakuwepo Saudia, walikuwa wanapatika, iraq, Yemen na maeneo mengine ya karibu na pale,

Ni wazi waarabu wenyewe asilia walikuwa Dark, ila hawa wa leo wamejivisha tu identity ya uarabu. Sijui ni kwa malengo gani.

Na pia hata dini yenyewe ya uislamu ambayo inatambua mtu mweusi ktk uasisi wa dini, ukiangalia kwa makini utagundua baadhi ya ishara pale MAKA, kwanza kuna jiwe jeusi pale kwenye kaaba tukufu, pia hata lile tambala lililovishwa juu ya al kaaba ni jeusi pia, ile ni kama Legacy kwa kizazi asili cha waarabu wenyewe.
 
Vitabu vinaonesha asili ya wayahudi( Wazungu) ni Is-haqa na Waarabu( Mchanganyiko) ni Ismail. Sisi waafrika sijui tumetokana na nani hapo?? Ukisema watu weusi walikuwepo MAKA ni UONGO maana mpaka mwaka 570- 700 mtu mweusi alikuwepo MAKA ni mmoja tu naye ni Bilal.
 
Unamaanisha huyu mzenji aliyekuwa makamu wa rais hawam iliyopita?
 
Vitabu vinaonesha asili ya wayahudi( Wazungu) ni Is-haqa na Waarabu( Mchanganyiko) ni Ismail. Sisi waafrika sijui tumetokana na nani hapo?? Ukisema watu weusi walikuwepo MAKA ni UONGO maana mpaka mwaka 570- 700 mtu mweusi alikuwepo MAKA ni mmoja tu naye ni Bilal.

Mbona hujauliza Wachina,wahindi,walatini nao wetokana na nani ?
 
Vitabu vinaonesha asili ya wayahudi( Wazungu) ni Is-haqa na Waarabu( Mchanganyiko) ni Ismail. Sisi waafrika sijui tumetokana na nani hapo?? Ukisema watu weusi walikuwepo MAKA ni UONGO maana mpaka mwaka 570- 700 mtu mweusi alikuwepo MAKA ni mmoja tu naye ni Bilal.
Si kweli kuwa mtu mweusi ilikuwa Bilal tu.

Isitoshe, kuwa mweusi hakumaanishi kuwa wewe u mwaafrika zaidi ya mwaafrika asiye mweusi.

Kumbuka Afrika na Asia zilikuwa hazijatengenishwa na bahari kwa hiyo muingiliano wa misafara ulikuwepo toka enzi dahari. Afrika na Asia zimetenganishwa juzi juzi tu na mfereji wa Suez, uliochimbwa na kujengwa na watu kurahisisha safari za meli kati ya bara la Europe, Asia na Afrika.
 
Vitabu vinaonesha asili ya wayahudi( Wazungu) ni Is-haqa na Waarabu( Mchanganyiko) ni Ismail. Sisi waafrika sijui tumetokana na nani hapo?? Ukisema watu weusi walikuwepo MAKA ni UONGO maana mpaka mwaka 570- 700 mtu mweusi alikuwepo MAKA ni mmoja tu naye ni Bilal.
Mkuu kipindi hiki unachokisema wewe, ni kwamba tayari hawa waarabu fake walishaanza kujipenyeza muda tu, ni sawa na warundi wanaoingia kigoma na kujiita waha, then suala la bilal, sio kama alikuwa mtu mweusi peke yake pale maka huo ni uongo pia, walikuwepo watu weusi.

Pia lazma ufahamu kulikuwa na watu weusi wa aina mbili kuna wenyewe wenye asili ya pale na waliokuja kwa utumwa baadae.

Pia kipnd cha mtume muhammad (s.a.w), tayar hawa waarabu fake walikuwa washaanza kuingia kwa wingi na kuanza kuchukua identity ya waarabu wenyewe (dark)
 
Ni kama vile vijana wengi wakiafrika walivyokuwa waki-copy lifestyle za waamerica weusi sanasana miaka ya 90 mpaka 2000, tulishuhudia mpaka wakibadili namna ya uvaaji iendane na ile ya wamarekani weusi, na ndivyo hawa wanaojiita waarabu na kutuaminisha kuwa wao ni waarabu walivyojibadilisha na kujivisha identity ya uarabu.

Tuanze kuwekana wazi waarabu wenyewe asilia hawakuwa weupe kama hawa wa leo, ukifuatilia historia utagundua chimbuko la waarabu linaanzia kwa Ismail, ambaye ana damu ya mtu mweusi kwa upande wa mama yake ambaye alikuwa ni mmisri, lakin pia baada ya Ismail kuondoka na mama yake, na kwenda kuanzisha makazi sehemu nyingine, akiwa huko na mama yake, alipofikisha umri wa kuoa mama yake alimpeleka misri ambapo ndipo alikuja kuoa mwanamke (mweusi, kama mama yake) wa kimisri, na kuondoka nae kurudi eneo alilokuwa akiishi na mama yake ambalo ndio eneo maarufu nchini saudi arabia kwa sasa (MAKA). Na ismaili na uzao wake ndo waasis wa jamii/kizazi kilichoitwa waarabu.
=Swali hawa waarabu weupe wa leo wanaojiita na wao waarabu huu uarabu wameutoa wapi??. Tafiti za kihistoria zinadai kipindi hicho hawa jamaa hawakuwepo Saudia, walikuwa wanapatika, iraq, Yemen na maeneo mengine ya karibu na pale,

Ni wazi waarabu wenyewe asilia walikuwa Dark, ila hawa wa leo wamejivisha tu identity ya uarabu. Sijui ni kwa malengo gani.

Na pia hata dini yenyewe ya uislamu ambayo inatambua mtu mweusi ktk uasisi wa dini, ukiangalia kwa makini utagundua baadhi ya ishara pale MAKA, kwanza kuna jiwe jeusi pale kwenye kaaba tukufu, pia hata lile tambala lililovishwa juu ya al kaaba ni jeusi pia, ile ni kama Legacy kwa kizazi asili cha waarabu wenyewe.
Sawa, wale sio waarabu

Swali: Waarabu ni wapi hasa kati ya sisi weusi? Na hao wanaojiita waarabu wanastahili kuitwa race gani? Kwa mtazamo wako
 
Vitabu vinaonesha asili ya wayahudi( Wazungu) ni Is-haqa na Waarabu( Mchanganyiko) ni Ismail. Sisi waafrika sijui tumetokana na nani hapo?? Ukisema watu weusi walikuwepo MAKA ni UONGO maana mpaka mwaka 570- 700 mtu mweusi alikuwepo MAKA ni mmoja tu naye ni Bilal.
Bilal hakuwa na uzao?
 
Sawa, wale sio waarabu

Swali: Waarabu ni wapi hasa kati ya sisi weusi? Na hao wanaojiita waarabu wanastahili kuitwa race gani? Kwa mtazamo wako
Waarabu wenyew wapo hadi sasa pale saudia ila ni kwa kiasi kidogo sana na ni weusi, sio weupe mkuu, ila ulimwengu umeaminishwa hvyo, na hata baadhi ya waarabu hawa wapya akina MBS, wanalijua hilo, ila hawawezi kuweka wazi coz kwao imekuwa ni sifa kuwa waarabu japo wanaujua ukweli
 
Kwanza inabidi tutambuwe ni nini Uarabu.

Juzi kuna mtu kaweka uzi humu na kufafanua kuwa Uarabu ni "culture", tamaduni. Nani nakubaliana nae.

Kwa kuongezea tu, asili ya neno " Arabia" ni arabiya au msafara (caravan).
Kwa mantiki hii tukikubaliana na mtoa mada kwamba waarabu ni watu weusi, kama Arabiya ni msafara basi hao weusi walikuwa na misafara gani mpaka wastahili kuitwa waarabu na sio hao wanaojiita sasa waarabu?
 
Sawa, wale sio waarabu

Swali: Waarabu ni wapi hasa kati ya sisi weusi? Na hao wanaojiita waarabu wanastahili kuitwa race gani? Kwa mtazamo wako

Ukisoma kitabu kiitwacho "Definition of Arab" .Muandishi anasema Uarabu unaingia kwa watu wa aina tatu :

1. Wale wenye kuongea lugha ya kiarabu kama lugha yao mama.

2. Wale wenye nasaba ya uarabu kwa maana ya uzao.

3. Wale wote walio ishi maeneo ya waarabu yaani kuanzia Arab Peninsula mpaka kule yemeni ukitoa wale walio ishi Shaam.
 
Sawa, wale sio waarabu

Swali: Waarabu ni wapi hasa kati ya sisi weusi? Na hao wanaojiita waarabu wanastahili kuitwa race gani? Kwa mtazamo wako
Wale ni babylonians kutoka iraq huko. Wengne wanatoka Yemen na baadhi ya maeneo mengne pale middle east
 
  • Thanks
Reactions: T11
Kwa mantiki hii tukikubaliana na mtoa mada kwamba waarabu ni watu weusi, kama Arabiya ni msafara basi hao weusi walikuwa na misafara gani mpaka wastahili kuitwa waarabu na sio hao wanaojiita sasa waarabu?
Misafara Afrika mpaka leo ipo.
 
  • Thanks
Reactions: T11
Back
Top Bottom