Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kawaulize watu 10 kuhusiana na TUZO POINTS. Mmoja tu atakuambia TUZO POINTS ni kitu gani na kama zinamnufaisha. Promotion gani wateja wenu hawaifahamu? Promotion huwa haihitaji mtu kwenda DARASANI...
1 Reactions
40 Replies
11K Views
Habari zenu wana JF kwa anayekijua chuo cha UCC kiundani zaidi anisaidie nataka nikasome pale
4 Reactions
43 Replies
6K Views
Hili ni paa ama mnara, itungwe sheria mapaa ya namna hii yawekewe taa za hazard kama minara ya simu maana ndege yetu Airbus A220-300 isije ikajigonga!!
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Wakuu Salaam, Jamaa yangu anatafuta sehemu nzuri yenye usalama na ya bei ya kati say Tsh 30,000/ - 50,000/= katika mkoa wa Morogoro kwa ajili ya ziara ya kikazi wiki ijayo. Msaada wowote...
0 Reactions
48 Replies
11K Views
*Tanzia* *Eng. Dr. Eric James Msechu* amefariki ghafla huko California Marekani alikokuwa anaishi na k ufanya kazi kwenye kampuni ya Intel Corporation Alitoka kazini akiwa mzima na akawa...
15 Reactions
103 Replies
24K Views
"Everything men know about women" 25th anniversary edition.? Mbali na kitabu hichi kuuzwa kwa mamilions ya nakala , na kuandikwa na msomi Mwenye ngazi ya udaktar yaan Dr.Allan Francis lakin ndan...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wanajamvi Habarini za wakati huu. Kwa muda sasa nimekuwa nikitafakari juu ya mwenendo mzima wa huyu mjomba wangu ambaye ni wa kwanza kwenye tumbo la bibi yetu. Nimetafakari jinsi anavyoiumiza...
4 Reactions
17 Replies
2K Views
Zamani tulikuwa tunatunza picha zetu kwenye album na pindi mgeni akija unampa anaangalia sasa hivi Facebook kama ndo album ya kisasa watu wanayotunzia picha zao h
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu kwema? Weekend hiyo hapo inakuja. Naomba ushauri mtoto wangu wa kike ana mwaka mmoja na miezi 2 lkn anapenda sana kula mkaa. Naomba kujua hasara au faida za kula mkaa kwa mtoto mdogo...
0 Reactions
7 Replies
8K Views
Habari zenu wanajamii forum,nimepata safari ya ghafla kesho nataraji kwenda morogoro ila itanibidi nilala kwa usiku mmoja,Bajeti yangu ni kuanzia elfu 15 mwisho kabisa 20,iliyopo maeneo karibu na...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Leo waungwanaa tubadilishane mawazo juu ya mbagala sekondari nimefanya tafiti ndogo nimegundua shule hii ya tarafa ilianzishwa mwaka 2004 ajabu hadi leo haina uzio hali hiyo ya kutokuwa na uzio...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Je, kanuni za BASATA zinasemaje kama TCRA atashindwa kutimiza wajibu wake?
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Ukitaka kujua chochote kuhusu Mr Zero IQ bila shaka uliza hapa utajibiwa majibu akiwa mubashara kabisa . Cc Zero iQ
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari viongozi. Naomba msaada kwa yeyote mwenye Sheria ya Mipango Miji 2018 au "The Urban Planning Act 2018" anisaidie katika softcopy. Natanguliza shukrani za dhati
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Tukizungumzia suala la demokrasia Afrika bado ni changa na liko gizani mno kiasi kwamba ni suala ambalo linaukakasi sana. Tunapenda sana kuwa huru katika nyanja tofauti tofauti sana ,baadhi ya...
5 Reactions
62 Replies
5K Views
Wakuu .toka nianze likizo ni siku ya 3 umeme unakata vbaya mno,...hiv nyie tanesco,ndo mnakataga hiv kila siku ama? Kujiandaa kotee kuangalia tv,maj barid,kiyoyoz,kugegeda...kwel mnakata umeme...
4 Reactions
69 Replies
6K Views
Pamoja na mengi mazuri yalifanywa na serikali ya awamu ya kwanza lazima tukubali ujamaa ilikuwa ni KOSA LA KIUFUNDI KABISA. Naaandika haya kwa kuzingatia kuwa ukiisema serikali ya awamu ya kwanza...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Waziri wa Nishati hivi karibuni kanukuliwa akisema "hadi kufikia tarehe 30 December 2018 Watu wote walioomba na kulipia Umeme maeneo ya mjini watakuwa wamefungiwa Umeme Lakini hadi hivi sasa bado...
8 Reactions
49 Replies
4K Views
Habari wa kuu kuna gari ya jamaaa yangu ilipata ajali..... sasa tunataka kuhamisha body maana injin na gia boks havikuguswa naweza pata body ya mark x, verosa au hata brevis kama unayo njoo pm...
0 Reactions
0 Replies
678 Views
Hii nimeiona kwa watu kadhaa ambao rafiki zao ni wachina au jamii zinazofanana na wachina kama Wajapani na Wahindi. Ni tofauti kabisa na mtu aliyepata rafiki toka bara la ULAYA au America. Ukiwa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…