University of Dar es Salaam Computing Centre

Kuna It, bit, biashara. certificate kwa diploma.. Dar ni hq pale mlimani na posta branch ya mbezi haipo siku hz toka anko aingie.. D kuanzia nne alafu kuingia kuna mwezi wa nne na wa tisa mwaka huu... Ur welcome ndugu.. Ila usikimbie hesabu tu
 
Habari zenu wana JF kwa anayekijua chuo cha UCC kiundani zaidi anisaidie nataka nikasome pale

Mimi ninachojua tu ni kwamba Wanafunzi wengi wa Kike wa hicho Chuo ( UCC ) hasa wale wa ' Campus ' ya Mbezi Beach Makonde mkabala kidogo na Shamo Tower ni warahisi Kukuvulia Chupi hata ukiwapashia tu ' Kiporo ' cha Juzi na maji ya Bombani ya Dawasco. Naomba niishie hapa tafadhali.
 
Are you sure?
 
Are you sure?

au unataka niseme mengine zaidi ili niwakoseshee Wazazi kupeleka Watoto wao hapo? Siku nyingine ukishaona tu namalizia na hilo neno la ' naomba niishie hapa tafadhali ' na nikaliwekea rangi Nyekundu jua kuna mengineyo makubwa zaidi ya hatari Kimaadili tu nimeyaficha / nimeyahifadhi. Niliyoyasema hapo mwanzo nina uhakika nao tena siyo tu wa 100% bali sasa ni wa 200% kabisa. Wahenga walisema " aisifiaye mvua imemnyeshea ".
 
Branch ya makonde imeshatolewa kitambo 2016
 
au unataka niseme mengine zaidi ili niwakoseshee Wazazi kupeleka Watoto wao hapo? Siku nyingine ukishaona tu namalizia na hilo neno la ' naomba niishie hapa tafadhali ' na nikaliwekea rangi Nyekundu jua kuna mengineyo makubwa zaidi ya hatari Kimaadili tu nimeyaficha / nimeyahifadhi. Niliyoyasema hapo mwanzo nina uhakika nao tena siyo tu wa 100% bali sasa ni wa 200% kabisa. Wahenga walisema " aisifiaye mvua imemnyeshea ".
Ni kweli wanatumika maana instructors walikuwa wanajichagulia tu huku test wanafaulishwa...
 
Sitaki kuwa ' Mnafiki ' na wala siwalaumu wale ' Instructors ' wao Mkuu kwani kwa aina ile ya Urembo wa wale Watoto wa Kike halafu na vile walivyokuwa wavivu, wapenda starehe, kula chips katika ile Cafe iliyokuwa jirani yao mkono wa Kushoto, Kupendeza na Kujirahisi Kwao vile kwa Wanaume hata Mimi ' ningewatambalizia ' nao vile vile hadi wangenikoma. Mimi bahati nzuri baada ya kuona nimefanikiwa ' Kumtambalizia ' nao Mkufunzi ( Instructor ) Madam X ( jina Kapuni ) sikuona haja tena na kuhangaika na vile Vitoto ila mara kwa mara nilikuwa nikiviona ' vikibanduliwa ' ndani ya Gari za Vitz na IST huku wengine wakienda ' kubanduliwa ' kwa kule nyuma Bombani karibu na Gereji ya yule Mzee wa Kichagga. Na kuna taarifa nilizipata kwamba kuna Watu fulani wa ' Matibabu ' na ' Upimaji ' walienda pale kupima ' Dally Kimoko Virus / HIV ' na matokeo yao Mkuu utanisamehe tu na naomba niishie hapa tafadhali.
 
Kuna It, bit, biashara. certificate kwa diploma.. Dar ni hq pale mlimani na posta branch ya mbezi haipo siku hz toka anko aingie.. D kuanzia nne alafu kuingia kuna mwezi wa nne na wa tisa mwaka huu... Ur welcome ndugu.. Ila usikimbie hesabu tu
Mkuu kwa alama hizi napole;ewa au
Kiswahili C
Civ D
Hist B
Eng D
 
au unataka niseme mengine zaidi ili niwakoseshee Wazazi kupeleka Watoto wao hapo? Siku nyingine ukishaona tu namalizia na hilo neno la ' naomba niishie hapa tafadhali ' na nikaliwekea rangi Nyekundu jua kuna mengineyo makubwa zaidi ya hatari Kimaadili tu nimeyaficha / nimeyahifadhi. Niliyoyasema hapo mwanzo nina uhakika nao tena siyo tu wa 100% bali sasa ni wa 200% kabisa. Wahenga walisema " aisifiaye mvua imemnyeshea ".
Hahaha mkuu tunaomba uishie hapo wazazi wasivunjike moyo.
 
Back
Top Bottom