Hoteli au Lodge gani ya bei ya kati Morogoro?

Nyati

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2009
Posts
2,528
Reaction score
1,920
Wakuu Salaam,

Jamaa yangu anatafuta sehemu nzuri yenye usalama na ya bei ya kati say Tsh 30,000/ - 50,000/= katika mkoa wa Morogoro kwa ajili ya ziara ya kikazi wiki ijayo.

Msaada wowote unakaribishwa na shukrani zinatangulizwa
 
AENDE TAXPALACE AU HILUX HOTEL A
 
Ila awe makini sana kuna vibaka sana Morogoro ajihadhari kwenye matembezi yake hasa nyakati za usiku. mwisho namshauri afikie Neema House iko hapo Msamvu ni salama, pasafi, pazuri sana
 
Hivi hiyo nayo si ya huyo mwenye Tex palace?
kwa kweli sijui..nahisi ni watu wawili tofauti au aende msamvu kwenye ile ya Boss wa zamani wa TRA na zingine kama tatu za magorofa around pale kama Gwami etc
 
Midland ni nzuri nilifurahia Huduma zao.ipo msamvu Barabara ya kuelekea iringa pia gharama zao ni nafuu .
 
Ila awe makini sana kuna vibaka sana Morogoro ajihadhari kwenye matembezi yake hasa nyakati za usiku. mwisho namshauri afikie Neema House iko hapo Msamvu ni salama, pasafi, pazuri sana
Neema House...???? Hapana ubora sana
 
Back
Top Bottom