Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kumekuwa na wimbi kubwa la vijana hususasani miaka 18 hadi 32 kujitunuku na kuitana majina ya wauza madawa ya kule vya kwenye majina makubwa. Wamejipa majina ya wauza unga maarufu kama Pablo, el...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
By ANGELA OKETCH Results of the first human clinical trial of the HIV drug, Gammora, have shown that it can eliminate up to 99 per cent of the virus within four weeks of treatment. The results...
16 Reactions
266 Replies
55K Views
Leo nilipita maeneo ya pale Quality center mall, TAZARA, nataka kuingia supermarket nikakuta kofuli hiloo lina mnyororo, mlinzi akasema American supermarket ni mwezi wa tatu huu wameshafunga...
5 Reactions
22 Replies
6K Views
Ndugu watanzania, napenda kuanzisha Uzi huu muhimu Kwa maendeleo ya Taifa letu. Ni kwamba, baada ya miaka mingi kupita, ni miaka hii jiji letu la Dar es Salaam limekuwa likitajwa sasa katika Top...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Habar ya Christmass wana Jf. Naombeni ushauri wenu wa namna ya kuhifadhi pesa za kikundi. Kikundi chetu kina watu 40 lakini sio rasmi ila huwa tuanafanya michango ambapo tumefikia hatua ya kuwa...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Nimekasirishwa na matangazo haya ya biashara mitandaoni, naiomba serikali ifuatilie haya aisee kwa ujumla na ni uganga huu wa kwenda kinyume na uumbaji wa Mungu. Ni aibu kwetu na taifa kwa ujumla.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Siku zinakwenda maisha yanazidi kuwa magumu kwao! wengi wamesoma wanaogopa kujiajiri kuuza hata juice ili wapate mlo wao wa kila siku wengi wanakatishwa tamaa kwa vitu vidogo waavyovianzisha wengi...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwa kipindi cha wiki moja Jumla ya makosa matano ya udhalilishaji yameripotiwa katika vituo mbali mbali ndani ya mkoa wa mjini magharib unguja. Akithibitisha kutokea kwa matukio hayo kwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wameshafika tayari
2 Reactions
11 Replies
1K Views
heshima kwenu wapendwa katika Tanzania yetu nzuri leo nakuja na ushauri kidogo. unafurahia sikukuu ya leo na inayokuja, usisahau kuwakumbuka wale wanaokuangalia. furahi nao kwa kuwatumia pesa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mimi ni mtumiaji mzuri wa barabara ya bagamoyo nikitokea mwenge , nimekuwa nikiona magari mengi hasa aina ya daladala yakiwa yameandikwa NANGA BOY kwa nyuma . hivi hili neno huwa lina maana...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kinawatakia watanzania wote wenye chama na wasio na chama heri ya chrismass na maandalizi mema ya kuupokea mwaka mpya..[emoji86][emoji86]
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kiukweli hadi nimesahau hata namna na kupigana,nakumbuka miaka ile tuko primary 1997-2002,mapambano daily. Hasa siku za kufunga shule tulikuwa tunaita Muagano hatari sana,unene na urefu...
1 Reactions
4 Replies
949 Views
Habarini za mda huu wana jamvi Naomba kufahamishwa vigezo vinavyo hitajika na ubalozi wa Marekani ili upatiwe visa ya kufanya kazi nchini kwao. Nimejaribu kwenda kwenye site yao lakini sjaelewa...
2 Reactions
52 Replies
8K Views
Habarini wadau, Nimetafakari kwa kina na nikagundua kuwa kwa dunia tunayoumishi sasa hakuna matusi kwa maana kwamba lugha ambazo zilikuwa zinazungumzwa zamani watu walikuwa wana hofu ya kutaja...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ni kawaida kwa Mheshimiwa Raisi kutoa zawadi ya vyakula wakati wa Christmas na hata Eid kwa ajili ya yatima na wasiojiweza (vikongwe). Christmas hii hatujasikia!
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Imani , dini na mambo ya kiroho ni mambo matatu mtambuka na yasiyo kuwa na maana sawa kwa wajuvi wa mambo , Imani yapasa kuwa msingi imara kumhusu mtu kuelekea thamani anazojipa yeye mwenyewe...
0 Reactions
0 Replies
925 Views
Jamani na nyie mtatoa mapovu yenu, ni wazi kwamba staili ya kiduku imekuwa ndio staili inayopendwa na kutumiwa na watu wengi wenye rika mbalimbali duniani kote...Ila watu wengi siku hizi...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimefuatilia swala la Brexit tangu mwaka 2016. Awali niliona ni swala tu la nchi (UK) kuamua kujitoa kwenye umoja wa ulaya (EU), lakini muda unavyozidi kwenda naona jambo hili limekuwa likigonga...
5 Reactions
49 Replies
5K Views
Mwaka mpya!!! X-Mass Pasaka Easter Idd
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Back
Top Bottom