Orodha ya sikukuu za wakoloni

Orodha ya sikukuu za wakoloni

acha kufananisha Eid na mambo ya kojonga wewe
 
Sherehe za kiafrika
Mapinduzi
Uhuru
Sabasaba
 
acha kufananisha Eid na mambo ya kojonga wewe
Hivyo Eid ni ya kabila gani hapa Tanzania? Heri ya hao ambao wanaamini dini ambazo hazikuja na mitumbwi na melikebu. Wamatumbi na wahehe na wazigua walijua nini kuhusu eid kama siyo utumwa?
 
Back
Top Bottom