Mara ya mwisho kupigana ngumi lini?

IKIRIRI

JF-Expert Member
Jan 14, 2018
2,734
3,017
Kiukweli hadi nimesahau hata namna na kupigana,nakumbuka miaka ile tuko primary 1997-2002,mapambano daily.
Hasa siku za kufunga shule tulikuwa tunaita Muagano hatari sana,unene na urefu ulinisaidia kuwaduchua na ndio maana nilifeli form2 kibri hadi kwa walimu..
Enzi hizo tunajiita mabeach boy unapata pesa ya kupaa samaki kesho yake shule full jeuri..
Enzi hizo unatembea na kioo ...hatari sana,nipe uzoefu wako ulipigana lini?
NB:sio ngumi za kumpiga mke wako hapana ..ngumi jiwe na mwanaume mwenzio...
 
Leo saa 6 mchana, nimempiga jamaa mmoja alikuwa anantania katoto kangu ka chekechea eti MCHUMBA.
 
Back
Top Bottom