Habari za muda huu ndugu zangu.
Mimi ni mkazi wa Dar es Salaam ila nilikuwa na wazo la kufanya biashara ndani ya wilaya ya Kisarawe mkoa wa Pwani.
Kwa kifupi ni kwamba leo 26/03/2018 pale TRA...
Nadhani two days ago i requested kama there is any female member angependa twende wote knjaro there was a lift. Nashukuru dada mmoja aliamua kuniamini.
Nimeshangaa kuwa kumbe kuna some few pretty...
Mwalimu mmoja amepoteza kazi baada ya kuwaambia wanafunzi wake kuwa Santa Claus ama maarufu kama Father Christmas hayupo ulimwenguni.
Mwalimu huyo alikuwa akifundisha darasa la kwanza huko New...
Hello buddies, Kwa wale waliobahatika kwenda kula sikuku ya Noel watupie hata picha mbili Tatu tuweze kuona jinsi wanavyosherehekea hii sikuku.Tupia picha Za manyumba ya kifahari zilizoko huko...
Wachaga wamegawanyika kama ifuatavyo, sio wote wajanja. Kuna:-
1. WAROMBO; Hawa wajanja sana kibiashara/
wezi pia. wanapenda dili za magendo. Ni walevi sana hupeleka wake zao vijijini wakileta...
On February 26, 1982, an Air Tanzania Boeing 737-2R8C was on a domestic flight from Mwanza to Dar Es Salaam.
There were 99 passengers and 5 crew members onboard. Minutes during the flight, the...
Wakuu binafsi nimekuwa mpinzani mkubwa wa hii campain ya uzazi wa mpango ama nyota ya kijani.,
Nimekuwa mpinzani sabbu ya madhara ya matumizi ya njia mbalimbali ambazo wanawake huwa wanaelekezwa...
Tumsifu Yesu Kristu (TYK)
Ndugu wanajukwaa niwatakie heri na Noeli. Tunasherehekea kuzaliwa kwa mfalme wa amani Yesu mwana wa Mungu.
Leo katika sali yangu katika moja ya parokia, nimeona na...
16 Kiongozi anayepungukiwa na utambuzi wa kweli pia ana mazoea mengi ya upunjaji,+ lakini mtu anayechukia faida isiyo ya haki+ atarefusha siku zake.
methali: 28:16
Hata miji hauna unaandaa ugaidi mzee
Kivutio kikubwa duniani ni miji iliyopangwa na kujengwa kwa ufasaha (na siyo wanyama na milima). Kuna jitihada mbalimbali zimefanyika na mipango jiji la DAR...
Kuna watu wanatumia hela kipindi hiki cha sikukuu kana kwamba zinatokea mara moja tu katika maisha yao yote,
Zero IQ msimu huu wa sikukuu sina bajeti kubwa sana isipokuwa kwa bi mkubwa(wazazi)...
Kuna "ulaji" umewatengenezea (au TCRA) polisi wako linapokuja suala la kurudishia line ya simu iliyopotea/kuibiwa etc. Wanakuzungusha, unapata taabu kweli kweli, at the end of the day wanakupa...
Mkuranga. Baadhi ya wazee wa Kijiji cha Kiziko wilayani Mkuranga, wamependekeza wasichana wanaopata mimba shuleni bila kubakwa wachapwe viboko 12 siku 40 baada ya kujifungua.
Hata hivyo, pendekezo...
Leo bana ni siku kuu ya krismas ikiwa watanzania au ww mtanzania unaye soma bandiko hili utakuwa na uwezo wa kupata aina ya mlo unaokula leo hii trh 25 Dec. Angalau mara 3 kwa wiki basi hii...
Habari wanabodi;
Katika kipindi cha msimu huu wa sikukuu, jeshi la polisi kitengo cha usalama barabarani kwa kushirikiana na SUMATRA waliahidi kutokomeza madalali wa ticket, katika mkoa wa Mtwara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.