Kulikoni Maduka makubwa kufungwa Quality Center Mall

LICHADI

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
4,146
11,192
Leo nilipita maeneo ya pale Quality center mall, TAZARA, nataka kuingia supermarket nikakuta kofuli hiloo lina mnyororo, mlinzi akasema American supermarket ni mwezi wa tatu huu wameshafunga.

Kuchungulia duka la kubadilishia fedha nalo naona kofuli na mnyororo, kuna pharmacy kubwa pale nayo naona hadi ina vumbi ndani nikimaanisha imefungwa kitambo, duka kubwa la Huawei nalo naona chalii limefungwa, Japan Automobile naona wamekimbia

Kulikoni
 
"wii a oni dhe raiti traki"!!
 
Wamehamia Zambia!
 
Kazi ya milango ya Supermarket hiyo.
 
............... Hata Mimi nimefunga biashara yangu ya stationary ..... Sio duka kubwa kama supermarket lakini hiyo ni dalili ya hali kuwa mbaya ... Hiyo ndio maana halisi ya usemi usemao hali mbaya ....
 
Duh inaskitisha sana

Dahh kwahiyo unasemaje ...wengine tuanze kuikimbia nchi ama !!?
 
Ulivyoingiatuu mm nilikuwa nyuma yako nakuona tu unavyoshangaa shangaa
Leo nilipita maeneo ya pale Quality center mall, TAZARA, nataka kuingia supermarket nikakuta kofuli hiloo lina mnyororo, mlinzi akasema American supermarket ni mwezi wa tatu huu wameshafunga.

Kuchungulia duka la kubadilishia fedha nalo naona kofuli na mnyororo, kuna pharmacy kubwa pale nayo naona hadi ina vumbi ndani nikimaanisha imefungwa kitambo, duka kubwa la Huawei nalo naona chalii limefungwa, Japan Automobile naona wamekimbia

Kulikoni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom