[http://img2]
IDARA ya Usafiri na Leseni, imesema tayari imekamilisha zoezi la upatikanaji wa vitambulisho vitavyotoa unafuu wa usafiri wa abiria kwa ajili ya wazee wasiopungua umri wa miaka 60...
Habari wakuu,
Nimekaa leo nimejiuliza sana hili swali, hivi mwanaume anasababu gani za msingi za kumfanya afunge kizazi?!
Kwa mwanamke inaeleweka sababu hasa ni za kiafya, kwa mwanaume je?!!
Nakumbuka miaka ya nyuma Krismasi ilingojewa kwa hamu na ghamu!
Sikukuu hiyo ilikuwa ni Tukio kubwa na la aina yake katika jamii yote. Yafuatayo ilikuwa ni lazima yafanyike kabla ya Sikukuu hiyo...
BEFORE YOU SLEEP:
CRITICS:
1. Always live your life above the negative words of CRITICS. Don’t choke on someone else’s ‘beef’.
2. All CRITICS do is remind you of how relevant you are.
3...
Wakuu , kwanza kabisa natanguliza salamu zilizojaa bashasha za mafanikio , baada ya salamu hizi nisiwachoshe na maneno mengi naomba niingie moja kwa moja kwenye hoja yangu .
Nachukua nafasi hii...
Yesu kristo atarudi kwa Mara ya pili siku ya chrismass usiku wa manane, hakika huu ndiyo ukweli.
Wana jf je, ikitokea hivyo unahisi binadamu wangapi wataiona mbingu siku hiyo?
Tu bienvenida en navidad -Spanish.
Votre bienvenve à noël -French.
Suas boas vindas no natal - Portuguese.
Je weikom op kerstmis - Dutch.
Kurisumasu ni anata o kangei - Japanese...
Kila ninapojaribu kuwasikiliza watu wanaochangia hoja kuhusiana na tarehe halisi ya kuzaliwa Yesu Kristo, wengi humtaja Mfalme Constantine wa Rumi kwamba ndiye aliyeianzisha siku hiyo, kwa...
Prof. Mkilaha wa Engineering UDSM (Director General, Atomic Energy in Arusha and Chairman of SUMATRA Board of Directors) amejipiga risasi kwa bahati mbaya wakati akisafisha pistol yake akiwa...
Unapokuja tabata kufanya starehe ,kuwa makini sana na hawa ma baunsa,,inapotokea wamekusoma kuwa una mtonyo wakutosha pamoja na vitu vya thamani kama saa,cheni ,pete,,wanatuma watu...
Askofu wa kkkt dayosisi ya mashariki na pwani Dr Alex malasusa amesikitishwa na jinsi waumini wa kikristo wanavyopeana talaka..ameyasema hayo Leo 25/12/2018 katika misa ya kusherehekea maazimisho...
Hizi ni baadhi ya michezo ya kamari inayoendelea nchini ni kuteketeza mabilioni ya pesa toka mifukoni mwa Watanzania:-
BIKO, TATU MZUKA, MOJA SPESHO, SUPER TANO, VODACOM, MERIDIAN BETS, SOKA...
Kijana mmoja ajulikanaye kwa jina la Mustafa huko wilayan Kondoa amelazwa katika hospitali ya wilaya baada ya kukutana na VIBAKA ambao walipomsimamisha walimpora vitu na kunywesha kinachosadikiwa...
PROF. Ibrahim Haruna Lipumba, mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), anayetambuliwa na Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi, amegonga mwamba mahakamani.
Kwa mujibu wa Mbarala...
Habari Wadau wa JamiiForum naomba msaada kwa ambaye anajua maana ya Western union kwa Undani zaidi na namna inavyotumika nchini na nje ya nchi kwenye maswala ya kutuma na kupokea fedha kwenye...
Wazee wa mujini wacheza dili,dili za maana,zile haramu kwa siro ni kitonga
Kwa wale wanaojifunza magari leo unaweza ukafahamu kusukuma bila wasiwasi
Nimepewa lift uku florida mitaa ya tegeta...
ANGALIZO:INAWAHUSU WANAOJUA ELIMU NA SIRI ZA SOLOMONI NA ZINAZOENDANA NA HIZO
Kila siku naamini katika maandishi kuna siri kubwa sana zinakuwa zimefichika
Lakini hii wiki nimeshangaa sana baada ya...
Asallaam wanaJF.
Sina bank account. Ila nawish sana kufanya online purchase kwa kutumia PayPal ili ku-secure payment. Je, is it possible to top-up a PayPal account with mobile money? mfano...
Habarini za muda huu wana jukwaa,nianze kwa kuwatakia kheri ya sikukuu ya x-mass.
Ningependa kujua zaidi kuhusu nchi ya hungary,maisha yao,miji mizuri kuishi,chakula,culture,nk nk
Karibuni sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.