Je, wajua maanaya Nanga Boy?

Je, wajua maanaya Nanga Boy?

kALEnga kidamali

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2015
Posts
542
Reaction score
753
Mimi ni mtumiaji mzuri wa barabara ya bagamoyo nikitokea mwenge , nimekuwa nikiona magari mengi hasa aina ya daladala yakiwa yameandikwa NANGA BOY kwa nyuma . hivi hili neno huwa lina maana gani...kwa anayejua maana yake tafadhari tujulishane
 
Nanga hili neno jeshini ni mtu asieelewa chochote hususani kwenye gwaride yaani yupo yupo tuu hajui kulia au kushoto ...
Yaani ukisema kushoooto geuuuka yeye anaenda kulia.... au ukisemaaa mguu pandee yeye anakaa mguu sawa..
Na boy nadhani unaaelewa ni nini...
Sasa weee unagisha...
 
Nanga hujui ni nini au? Hizo ni trade marks tu.

Sikukuu hizi na pombe za offer zinasababisha maswali ya kiwaki sana!
 
Mimi ni mtumiaji mzuri wa barabara ya bagamoyo nikitokea mwenge , nimekuwa nikiona magari mengi hasa aina ya daladala yakiwa yameandikwa NANGA BOY kwa nyuma . hivi hili neno huwa lina maana gani...kwa anayejua maana yake tafadhari tujulishane

Nanga boy ni brand ya kibiashara kama zilivyo happy nation, zebig boss, n.k

Hii brand inamilikiwa na afisa mmoja wa jeshi la polisi -dar,

Unaruhusiwa kuingiza gari zako kwenye hii brand ya NANGA BOY, sharti moja wapo linalozingatiwa ni lazima gari iwe mpya, (used from japan) hawataki makwasu kwasu..!
 
Download TALA app

Hii ni njia bora ya kupata mkopo wa papo hapo!

Tumia namba ya mualiko 1JG1PN6.

Pata mkopo sasa: install app kwa link hii http://inv.re/79pcu

Kwenye sehemu ya promo code/referal code weka hii 1JG1PN6

Unawezeshwa kianzio cha elfu hamsini

Tumia mualiko uanze na mkopo wa elfu hamsini

Masharti ya malipo kuzingatiwa

MKOPO WA HARAKA KUPITIA TALA MPAKA 500,000/=
Moderator fungia huyu Scammer
 
Back
Top Bottom