Mimi ni mwanaume wa miaka 29. Kinachonisimbua mimi sio muongeaji, hasa nikiwa mbele ya watu. Huwa naumia ninapoona watu kama makondakta wa gari za mjini huku waongeaji kiasi cha kumshawishi mtu...
Ebana kama kawa kawma dawa wazee wa kupiga pesa Wacha tu nikwambie umasikini upo mikononi kwako mwenyewe ukiamua unatoboa ,,vijana wa kutupia mkeka nisikilizeni kwanza juz katika sports pesa...
Nikiwa miongoni mwa watu wachache sana wenye imani madhubuti hasa misimamo thabiti hasa kwenye namna ya usherekeaji wa sikukuu mbalimbali ziwe za kidini, kiserikali, taasisi au za kibinafsi...
Naona kuna mitaro inachimbwa na kuna maroller ya waya yako standby kutandikwa, ni pembezoni mwa barabara ya ferry - mji mwema. Je, hizo waya ni za nini? Na ni mradi upi huu?
Habari wakuu. Naamini mmeamka salama ingawa wengine tumeamka na hang over ya sikukuu.
Karibu tushare YALIYOJIRI Jana wakati unasherekea sikukuu ya XMASS.
Binafsi nilikutana na haya...!!
Jana nilipika wali, kwakuwa sikuwa na hela ya kununua mboga za kueleweka, nikanunua dagaa, nikawapika vizuri kabisa.
Aise, wali na dagaa ni chakula kitamu sana, ila sasa, hapa nimeamka ni kama...
kiwanja kipo maneno ya chamanz mfenesini karibu na kota za frederction nyuma Yakota za muzungu kipo maeneo mazurii kwabiasha maana kimepakana na barabara 2 za mtaa ukubwa kwake ni 48/43/40/30...
Leo wakati natokea Kigamboni bridge kuelekea mjini nikapitia ile njia ya bandarini, wakati napita hiyo njia nikapisha na semi imebeba lorry lenye sura ya ajabu ajabu, nilidhani ni gari la...
Napenda kutoa pongezi kwa jeshi la polisi kwa kupambana na kufanikiwa kuyaua majambazi matatu usiku huu hapa Kinyerezi.
Rai, napenda raia tuendelee kudumisha ulinzi na amani kipindi hiki cha...
Hii ni kero ya mwaka 2018
Inavyoonekana huu ndiyo utamaduni kuwaonea raia. Matusi kejeli maudhi nilikutana navyo leo....
Baada ya dakika kadhaa nikagundua huyu askar amelewa. Namuona anahangaika...
Habari wana Jf mwenye uelewa wa Calculations na SI units za IQ ya binadamu naomba atujuze.
Cc Zero IQ njoo utupe msaada ulicalculate vipi ukapata hiyo Zero.
Habarini za sikukuu bandugu??
Hii hulka ipo sehemu nyingi na kwa makabila mengi.
Salamu ni kama ifuatavyo;
1. Mambo vipi, ukimjibu poa ataongezea niajee?? Utamwambia fresh tu. Au Badala ya...
:DHii tabia wanayo watu wengi sana hasa kwa walio mikoa mingine au nchi nyingine kikazi ki utafutaji unakuta mtu amezaliwa mwanza akazamia moro kajenga huko na watoto ila utamsikia mimi nikifa...
Naomba mwenye kujua wapi wanasajilia majarida ya matangazo kama Advertizing Dar,Buy&Sel, City Advert ambayo wanayagawa bure lengo likiwa ni kutangaza biashara kwenye hayo majarida.
Wenye ujuzi...
Nikiwa njiani kutokea Arusha Jana mpaka Leo tarehe 22 Dec nimeshuhudia kupishana na msururu wa magari binafsi mengi utafikiri wadudu wakisafiri, yote yanaonekana kutokea Dar, je watu wa kaskazini...
Habarini wanajamvi. Leo nikiwa Morogoro nikiwa nikitafuta usafiri wa kuelekea Mbeya (ili sikukuu hii ikalike huko kwa wanyakyusa) usafiri pekee niliona kama mkombozi wa safari yangu ni Hood.
Mida...
KUNA watu ambao wamejikuta hawakubaliki kwenye jamii zao. Jambo hilo ni baya na husababisha tatizo kubwa la kisaikolojia kwa mhusika. Hakuna mtu ambaye hapendi kukubalika, kupendwa na...
Lean, economical and efficient
The larger member of the A220 Family, the A220-300 was specifically designed and purpose-built for the 130-160 seat market, and is a member of the most efficient...
Msemaji wa Serikali, Dk Hassan Abbas amesema Serikali itapokea ndege yake nyingine mpya toleo la Airbus A220-300, Jumapili hii Desemba 23, 2018.
Abbas ameeleza hayo leo Ijumaa, Desemba 21...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.