Naomba ushauri wa namna ya kuhifadhi pesa za kikundi

FUTURE HUNTER

JF-Expert Member
Apr 30, 2018
2,022
2,591
Habar ya Christmass wana Jf.

Naombeni ushauri wenu wa namna ya kuhifadhi pesa za kikundi. Kikundi chetu kina watu 40 lakini sio rasmi ila huwa tuanafanya michango ambapo tumefikia hatua ya kuwa na kiasi kizur cha pesa.

Shida sasa kifungua account benki ya kikundi tulipata changamoto maana signatories wanaotaka na wanachama hatuko sehemu moja tumetawanyika.Hvyo pesa zinakaa kwa mhasibu as cash which is risk.

Sasa basi nimekuja kwenu naombeni wenye uzoefu namna nzuri na salama ya kuhifadhi pesa hizi.kama kuna benki pia zisizo na masharti magumu kufungua account ya kikundi cha watu wasio rasmi.
Asanteni and Merry Christmass kwa wote.
 
Hapana tafuteni watu wawili, mmoja awe na line na mmoja awe na PIN.
Wazo zuri ila sasa pesa huwa kuna mda zinahitajika kutoka.mfano zawadi,pole na rambi rambi plus wanaokopa.Hvyo italazimu mhasibu awe na full access ya pesa
 
Back
Top Bottom