Diaspora aliyekuja Xmas na mwaka mpya

Ng'wanapagi

JF-Expert Member
Sep 18, 2013
9,125
8,627
Wameshafika tayari
FB_IMG_1545729032007_1545729112787.jpeg
 
Kaka hapa hatuna ma diaspora ni waigizaji kama unataka kujua influence ya ma Diaspora neenda mji wa Kampala kipindi hiki wanaitwa "wa summer" dollors inashuka sherehe kila sehemu ujenzi kwasababu kila familia ina angalau mtu moja nje ya nchi sehemu za sitarehe zinajaa, duh Waganda wanapenda kutumikisha hela sio uongo......
 
Kwanini hizo party usifanye wewe uwaalike hao waigizaji?
 
Back
Top Bottom