Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Moja ya vituko nimeviona sana baa ni; 1.wanaokuja kutafuta meza yao peke yao 2.wanaokuja na mademu kutafuta meza zilizojificha gizani 3.waliokaa meza moja alafu hawaongei (wote wapo busy na...
6 Reactions
51 Replies
10K Views
Inabidi tuseme mh. Rais alikataa tozo ambazo ni kero kwa mwananchi hasa hasa wahangaikaji. Halmashauri ya Nyanghwale kupitia madiwani wake waliazimia kuwatoza wachimbaji wadogo Ifugandi kiasi cha...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wapendwa katika bwana, naamini muwazima wa Afya ,naombeni msaada wa kupata Til ya wakala wa mtandao wowote. bila kuwa na jina langu ila iwe na jina la biashara Mfano:(Nyangwe mobile Money)...
0 Reactions
1 Replies
861 Views
Mamlaka ya udhibiti wa mifuko ya hifadhi ya jamii (SSRA), inaendelea kupokea maoni mbalimbali kutoka kwa wadau na wananchi kwa ujumla ambayo yatasaidia kuboresha kanuni na miongozo itakayoendelea...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa upendeleo ambao Mwenyezi Mungu amenionyesha ndani ya mwaka huu wa 2018 na ambao anaendelea kunionyesha nashawishika kusema kwamba " God is not my father " .He is my Daddy. Karibu kila MTU...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Jamii ya watu wa Siddi ni watu wenye kupatikana India katika mji wa Gujurat na karnataka Siddi community ni jamii iliyo nyuma sio kimaendeleo tu hata kielemu na kutambuliwa kama jamii ya India ni...
1 Reactions
14 Replies
4K Views
Binafsi msemo usemao mwalimu ni daraja naona hauna mantiki kama hatujaangalia na nyanja zote. Msemo huu huwenda umeanzishwa na wanasiasa ili waweze kuliteka hili kundi kubwa, au umeanzishwa na...
1 Reactions
5 Replies
973 Views
Mheshimiwa tank akirudi bongo vyombo vyote vikubwa vya habari duniani CNN BBC sky news Bloomberg aljahezeera nk vitakuwa vinaimulika tz mpk siku ya uchaguzi wa 2020 karibu lisu karibu tena nyumbani
0 Reactions
9 Replies
2K Views
_By Special Correspondent_ RELIGIOUS leaders across Christian denominations in Tanzania have added their voices in condemning immoral acts in society, particularly homosexuality, abortions and...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Chama cha Wafanyabiashara na wanunuzi wa Madini Nchini (Tamida) kimetoa Tamko la kuunga Mkono jitihada zinazofanywa na Rais John Magufuli za ununuzi wa Ndege kubwa za kisasa na kuahidi kuhamasisha...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Hili jambo limekuwa likinitatiza kwa muda mrefu. Matumizi ya jina Musoma badala ya Mara, kwa namna ninavyofahamu hakuna mkoa unaoitwa mkoa wa Musoma badala yake Musoma ni wilaya tu kama zilivyo...
1 Reactions
14 Replies
6K Views
[http://img2] Jumla Ya watu 43 wnaosadikiwa kuwa omba omba wamekamatwa katika Mkoa wa Mjini Magharibi kati hao 13 wanatoka Tanzania Bara na wengine wanatoka katika Wilaya ya Magharibi “A”: na “B”...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Mimi mwanakijiji wa kata ya Chihangu Mpakani kabsa na Kijiji cha chilangalanga. Serekali kutumia Jeshi la wananchi wanachukua korosho zetu . Hakika kama wangetumia magari ya umma sasa kingewaka ...
2 Reactions
23 Replies
4K Views
Mwanza mwanza mwanza...wadau wa Mwanza mna lipi jipya mkoa wenu huu..nataka nimalizie sikukuu sehem iliyotulia ya ukweli yenye wadada kibao wa kujichukulia embu niambieni Happy Holidays
0 Reactions
49 Replies
8K Views
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam Lazaro Mambosasa amewaomba wadau mbalimbali wa amani kuendelea kutoa ushirikiano kwa Jeshi ili kuendeleza hali ya ushwari iliyopo sasa katika Jiji...
2 Reactions
34 Replies
6K Views
Wakuu, poleni na majukumu. Nimekuwa napata shida sana kujua maana ya neno kujitutumua. Nini maana ake? Msaada pls
0 Reactions
8 Replies
4K Views
leo nimepigana kufa kupona , hii imetoka na jamaa mmoja kutaka kuniletea dharau mbele ya demu wangu ninaye mpenda. aiseee, kumbe jamaa lenyewe ni la dar, mwili mkubwa hakuna kitu. tulipo anza...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Nimekua nikitembelea jimbo la Vunjp mkoani kilimjaro mara kwa mara na nilichogundua ni kwamba: 1.Jimbo lina shule za sekondari tatu hadi nne kwa kata moja. 2.Hospitali nzuri na zenye mazingira...
1 Reactions
26 Replies
4K Views
1. Watu wawe wanawaza kwa uchungu sana kwa kupoteza Hela nyingi kwa Siku moja tu 2. Watu wawe wanawaza kwa uchungu jinsi walivyomkosea Mungu kwa Kudanganya na Kusaliti 3. Watu wawe wanawaza kwa...
1 Reactions
6 Replies
730 Views
Twajifunza kutokana na msuguano wake na Kambona,juu ya Sera zake za ujamaa ambazo zilichangia umasikini wetu,pale alipokuwa na chuki na wenye mali Kwa kuzitaifisha Mali zao.Kumbe sera za kuishi...
2 Reactions
27 Replies
5K Views
Back
Top Bottom