daaah; omba usikutane na hili.

daaah; omba usikutane na hili.

muhamar Gadaf

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2017
Posts
1,098
Reaction score
1,056
leo nimepigana kufa kupona , hii imetoka na jamaa mmoja kutaka kuniletea dharau mbele ya demu wangu ninaye mpenda.

aiseee, kumbe jamaa lenyewe ni la dar, mwili mkubwa hakuna kitu.

tulipo anza kuzichapa mnamo sekunde ya kumi nikamtwanga konde moja la uso...... akavumili kidogo, nikipiga nondo ingine kifuani upande wa moyo... nikasikia chiwiiiiiiiiii.

nikaendelea na mashambulizi,

nikamtandika tena teke la kwenye pumbu..... akasema mama weeeeeeee nafwaaaaa.

nikamaliza na ngumi ya pua na damu kuchuruzika.

mwisho nikamwambia pole sana, mimi ni mwanaume wa mkoani mbwa wewe
 
Ungemwua ndio ungemjua IGP jiha lake la utoto...
 
We soro nini, story gani unatuletea humu.kwamba kupigana mbele ya demu wako ndio hugongewi au?
 
leo nimepigana kufa kupona , hii imetoka na jamaa mmoja kutaka kuniletea dharau mbele ya demu wangu ninaye mpenda.

aiseee, kumbe jamaa lenyewe ni la dar, mwili mkubwa hakuna kitu.

tulipo anza kuzichapa mnamo sekunde ya kumi nikamtwanga konde moja la uso...... akavumili kidogo, nikipiga nondo ingine kifuani upande wa moyo... nikasikia chiwiiiiiiiiii.

nikaendelea na mashambulizi,

nikamtandika tena teke la kwenye pumbu..... akasema mama weeeeeeee nafwaaaaa.

nikamaliza na ngumi ya pua na damu kuchuruzika.

mwisho nikamwambia pole sana, mimi ni mwanaume wa mkoani mbwa wewe
form 4 mnakazi kwelikweli!!
 
Movie ya kihindi maarufu kama BAAGHI.
Thank you for loving Bollywood.
 
Unajisifia ujinga ... hauwezi kumkuta muungwana akiwa anapigana pigana hata siku ... ungemuua ndio ungeujua ulimwengu vyema
 
Halaf nikuambie wanaume tukipigana huwa hatupigani kwenye mapumbu kima wewe..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom