Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari za wakati huu ndugu zangu wa hapa JF. Kwa kuwa mheshimiwa rais hakuwepo katika shughuli za kuaga miili ya askari wa TPDF waliouawa nchini DRC kutokana na kuwa na majukumu mengine ya...
4 Reactions
93 Replies
12K Views
Alikuwa akiitwa Hutaki Unaacha. Alikuwa akitoa nondo nzito humu ndani za Serikali. Mara ya mwisho alionekana humu mwaka 2013 akidai anaenda safarini na akirudi atatujuza mambo nyeti lakini...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Wakuu huu ni uzi maalumu kwa hawa wakongwe wawili ambao nimekuwa nikifatilia maandiko yao.ni Mshana Jr na FaizaFoxy. Leo naomba wanishauri katika mambo yafuatayo na watoe maneno yao ambayo...
11 Reactions
212 Replies
19K Views
bado mda mchache tumalize 2018 kwenda 2019.ila kuna mambo ambayo yanaweza kuwa kimataifa na si kimataifa.au uzito wa jambo fulani na sijambo. mimi kwangu yanayo funga mwaka 2018 1-fastjet vs ATCL...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Dereva anakuta abiria wamejazana kituoni (Fire) wakisubiri usafiri na hapo wamekaa karibu dakika 40 ati anashushia abiria kituo cha wanaokwenda kivukoni basi linabaki tupu lile kundi la abiria...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Asha Ali Abei (55), diwani wa zamani wa kata ya Nyerere amejinyonga hadi kufa usiku wa kuamkia leo Jumatano Desemba 26, 2018. Akizungumza leo Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Madaktari bingwa nchini Saudi Arabia wafanikiwa kuwatenganisha Watoto mapacha raia wa Tanzania waliokuwa wameungana Watoto hao Maryness na Anisia wamefanyiwa upasuaji huo na jopo la wataalamu 32...
1 Reactions
6 Replies
4K Views
Nimepata meseji kutoka airtel inasema ofa ya krismasi nikifikiri wamenitumia bando ya bure ya intaneti au muda wa maongezi wa bure kumbe hakuna cha ofa ila Mauzo ya kawaida. Kwa wateja tunaonunua...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Padre Beatus Christian Urassa wa Shirika la ALCP/OSS Ateuliwa na Baba Mtakatifu kuwa Askofu wa Jimbo Katoliki Sumbawanga, kuchukua nafasi ya Mhashamu Damian Kyaruzi ambaye Anastaafu kwa mujibu wa...
12 Reactions
168 Replies
38K Views
Mchungaji wangu Lusekelo umeongea jambo la msingi sana juu ya uchapakazi wa Rc makonda anastahili pongezi sana kwa uchapakazi wake mzuri pamoja yakuwa hana chet halali chakusikitisha kwa upendeleo...
0 Reactions
2 Replies
867 Views
NSIMBO: Watu watano wamejeruhiwa kwa risasi katika kijiji cha kashelami halmashauri ya wilaya ya nsimbo mkoani katavi Tukio hilo limetokea jana majira ya saa tano asubuhi baada ya watu wanaodaiwa...
0 Reactions
18 Replies
5K Views
Nimeota nimezamia kwenye ziara ya mfalme wa kijiji chetu chenye takribani watu mil 50 (ikumbukwe tu mimi si mfuasi wake hata kidogo ) sasa baada ya makofi na vigeregere kutoka upande ule unaomsifu...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wana JF Kimsingi nilipata shida sana kuamka maana hang over niliyokua nayo siyo ya taifa hili, baada ya kutoka church nilienda kwenye mgahawa nikala pilau kuku saafi kabisa nikashushia na...
1 Reactions
27 Replies
2K Views
Tatizo siyo kuahirisha safari bali idadi ya HAO watumishi wa umma walioahirisha safari....... 100 ni wengi sana. Najiuliza tu sababu ni nini hasa?!!!
5 Reactions
164 Replies
17K Views
Majaji na mawakiri karibuni
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Hivi Teknolojia imekua kiasi kwamba mtu anaweza kuacha akili nyumbani akasafiri na mwili tu? Nikiona watu wengi walivyo Sasa hata ninao wafahamu Kuna walakini au Kuna jinsi mtu anatunza akili...
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Naibu Waziri wa Tamisemi, Mwita Waitara ameitaka Wakala wa Mradi wa Mabasi yaendayo Haraka (Dart) kufanya tathmini ya kujua ni hasara kiasi gani Serikali inapata kutokana na mfumo wa utoaji wa...
2 Reactions
9 Replies
3K Views
Naomba kufahamu tofauti kati ya Taifa na Nchi. Mfano nasikia kuwa Tanzania ni Taifa na Kenya ama Rwanda ama Uganda au Burundi ni nchi, nn haswa tofauti hapo?
0 Reactions
2 Replies
8K Views
Back
Top Bottom