Choma Magori Nyangwe
New Member
- Dec 9, 2018
- 3
- 0
Wapendwa katika bwana, naamini muwazima wa Afya ,naombeni msaada wa kupata Til ya wakala wa mtandao wowote. bila kuwa na jina langu ila iwe na jina la biashara Mfano🙁Nyangwe mobile Money) Nafanyaje ndungu zangu.