Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi hapa nchini Jenerali Venance Mabeyo ametoa wito kwa Viongozi wa Dini nchini kuendelea kuhubiri amani ili kujenga jamii iliyo bora yenye kudumisha upendo na mshikamano...
Ndugu zangu wana jf naomba kueleweshwa juu ya dawati LA jinsia kwa sababu namba ya wanaume wanaokimbia miji yao kwa ajili ya kunyanyaswa na wake zao idadi yao inazidi kuongezeka ukienda machimboni...
Wanawake wa zamani walikuwa wakinunua nyama hata iwe kilo moja walikuwa hawapiki yote, ni lazima walikata kiasi kwa siri kumbakishia mzee kwa ajili ya kumchomea kidogo kidogo siku za mbeleni...
1. Auze Mandege yote, kisha pesa hizo azipeleke kuboresha kilimo.
2.Asitishe mara moja mradi wa reli mpya maana hauna tija zaidi ya kuliongezea taifa hasara. Zaidi angejikita kufufua reli...
Habari wanajamvi!
Natumia simu aina ya Tecno Spark K7, kwa siku kadhaa nimeshindwa kutumia app ya Facebook kwa sababu inanipa pop up notification kwamba kuna matatizo ya mtandao kwenye simu yangu...
Mhe. Rais ameeleza kuwa hakuna nchi barani Afrika imewahi kununua ndege Airbus 220-300, hii inatafsiri kwamba ndege hii ni ghali Sana? Je ni kwamba hazifai kwa mazingira ya Afrika?Siyo nzuri...
National Housing wamejitahidi sana kujenga nyumba zenye ubora sehemu mbalimbali ndani ya nchi yetu katika mikoa mbalimbali lakini nyumba hizi zimekuwa zikikaa bila wapangaji wala wanunuzi kwa muda...
Wana JamiiForums
Jiji la dar es Salaam limeshika kasi ya unukaji kila kona baada a magari ya wadau waliokuwa wanaondoa uchafu kusimamishwa kwa muda usiojulikana.
Sisi tuliona magari ya uchafu...
Habari wana JF, bila shaka mmemaliza salama siku kuu ya Christmas na Leo ni tarehe 27/12/2018.
Ndugu wanaJF wenzangu nichukue nafasi hii kuwakumbusha kuwa kuna umuhimu sana Wa kuweka malengo...
Upende usipende, habari ndio hiyo. Muda huu making yupo live kwenye TV na redio nyingi kubwa bila kusahau mitandao ya kijamii. NI kwamba jamaa amedraw attention ya nchi na hivo kufanikiwa kuvuka...
Maisha uliyoyaishi mwaka huu na miaka ya nyuma yatatueleza huko mbeleni kuna nini kama ni uovu ni vema tukatubu sasa na kuomba rehema ila tusiyarudie tena.
Kila unalo lipanga na kuamua kutekeleza...
Habari za wakati huu ndugu zangu wa hapa JF.
Kwa kuwa mheshimiwa rais hakuwepo katika shughuli za kuaga miili ya askari wa TPDF waliouawa nchini DRC kutokana na kuwa na majukumu mengine ya...
Alikuwa akiitwa Hutaki Unaacha.
Alikuwa akitoa nondo nzito humu ndani za Serikali. Mara ya mwisho alionekana humu mwaka 2013 akidai anaenda safarini na akirudi atatujuza mambo nyeti lakini...
Wakuu huu ni uzi maalumu kwa hawa wakongwe wawili ambao nimekuwa nikifatilia maandiko yao.ni
Mshana Jr na FaizaFoxy.
Leo naomba wanishauri katika mambo yafuatayo na watoe maneno yao ambayo...
bado mda mchache tumalize 2018 kwenda 2019.ila kuna mambo ambayo yanaweza kuwa kimataifa na si kimataifa.au uzito wa jambo fulani na sijambo.
mimi kwangu yanayo funga mwaka 2018
1-fastjet vs ATCL...
Dereva anakuta abiria wamejazana kituoni (Fire) wakisubiri usafiri na hapo wamekaa karibu dakika 40 ati anashushia abiria kituo cha wanaokwenda kivukoni basi linabaki tupu lile kundi la abiria...
Asha Ali Abei (55), diwani wa zamani wa kata ya Nyerere amejinyonga hadi kufa usiku wa kuamkia leo Jumatano Desemba 26, 2018.
Akizungumza leo Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi...
Madaktari bingwa nchini Saudi Arabia wafanikiwa kuwatenganisha Watoto mapacha raia wa Tanzania waliokuwa wameungana
Watoto hao Maryness na Anisia wamefanyiwa upasuaji huo na jopo la wataalamu 32...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.