Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mtume petro anaandika ujumbe wenye utata yakuwa Yesu alizihubiri roho zilizokifungoni alipokufa. Rejea 1petro3:17-20 Roho zilizokifungoni akiwa na maana watu wasiotii zamani. Jumbe hii inaonyesha...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Naona Mkuu Makonda kaamua kuwakusanya viongozi wa dini pale Ubungo Plaza.
0 Reactions
31 Replies
6K Views
Habari? Naomba kufahamishwa maana rahisi ya QR code. Naona imetrend kweli naskia tu kuscan qr code ila bado siipati vizuri.
0 Reactions
0 Replies
861 Views
Mzuqa, Yani upepo umembadilikia ghafla. Mancity hata ikikutana na man united itanyukwa tu. Naona Tottenham inajtahidi. Liverpool ni bingwa tayari. Pogba leo kacheza kwa kujiamini sana. Chelsea...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Inauma sana kuona mtoto anaenda shule miaka minne anaambulia zero. Mimi ni mmoja ya watu tulionufaika na mfumo wa elimu wa shule za J.M . kikwete aka asnte lowasa. Tulikuwa wanafunzi 369 Matokeo...
0 Reactions
24 Replies
10K Views
SURAT NUH IMETEREMKA MAKKA INA AYA 28 NI SURA YA 71 JUZUU TABARAKA. Baada Ya Audhu Billahi Minashaitwan Rajim Biamillahi Rahman Rahim. Hakika sisi tulimtuma Nuhu kwa watu wake, ya kwamba aonye...
3 Reactions
7 Replies
8K Views
Wanufaika na elimu za kampuni ya Namaingo business agency ltd mkoa wa Iringa sasa wanavuna mapapai na asali Kikundi cha Itagutwa farming kilichoanzishwa chini ya kampuni ya Namaingo business...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hii ni habari njema kwa wakazi kanda ya ziwa na magharibi. Daraja urefu 3.2Km, na Barabara 1.66 Km Hongera JPM na wote Kwa hatua hii.
2 Reactions
39 Replies
4K Views
Askari wa jeshi la polisi kitengo cha usalama barabarani mkoa wa Njombe mwenye namba H1914 pc Petro Philemon amepandishwa cheo cha KOPLO kutokana na kutoa huduma vizuri katika ajali aliyoipata...
3 Reactions
45 Replies
11K Views
Hesabu 35:33 Hivi hamtaitia unajisi nchi ambayo mwakaa; kwa kua damu huitia nchi unajisi; wala hapana sadaka itoshayo kwaajili ya damu iliyomwagika ndani yake, isipokua ni damu ya huyo alieimwaga..
4 Reactions
10 Replies
2K Views
Kama una akaunti bank ambayo inatumia ATMs za UMOJA switch usizitegemee kabisaaa ATMs za UMOJA switch kwani zinaweza kukuangusha ukaonekana mswahili, ukaonekana ni muongo, ukakosa dili kama...
0 Reactions
21 Replies
6K Views
Wakati wa umini wa dini ya kikristu nchini wakiungana na mataifa mengine Duniani kusheherekea sikuku ya kuzaliwa kwa Yesu kristu ambayo imekuwa ikifanyika desemba 25 kila mwaka. Taharuki kubwa...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Hellow Tz Ili nchi iweze kuendelea zaidi kuna haja pia ya kutenga maeneo kwa ajili ya matumizi/uzalishaji flan, mfano angalia kwa Marekani Kwa Tanzania bado ila kiasi flan tumejitahid Mf, Ukanda...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
RC wa mkoa wa Tabora ameonekana kwenye TV takribani mara tatu akiwataka wananchi wa wilaya ya Igunga kuwa kila kaya ilime ekari 3 za pamba. Na atakayeshindwa kufanya hivyo ajiandaye kukiona...
5 Reactions
27 Replies
3K Views
mwenye audio,wimbo wa watoto radio one,auweke hapa, *watoto wasafi moyoni,ni nyota za macho kwa wazazi------
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nakushukuru Mungu kuniwezesha kuiona sikukuu ya Christmas ambayo Yesu amezaliwa ahsante Mungu, Nakuomba tena kwa mara nyingine katika uwezo wako eeeh bwana kanipigania tena ili niweze kuuona mwaka...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Nikiri wazi kwamba wapo waganga wanao Fanya tendo la.ndoa na wateja wao kwa sababu ya tamaa tu na wapo ambao ni mwiko kabisa kufanya tendo la ndoa na wateja wao kwa sababu MTU akisha kuwa mteja...
1 Reactions
15 Replies
6K Views
Nimeingia wikipedia leo wanasema okwi jana katimiza miaka 25 eti alizaliwa mwaka 1992 December 25, pia kumbukeni kuwa wikipedia huwa hawaandiki kwa kukurupuka pasipo kuwa na vyanzo vya Details...
3 Reactions
30 Replies
3K Views
Nimewaza sana nimegundua hao jamaa wana kiwango kikubwa cha akili. Wanauwezo wa kujenga hoja juu ya kitu fulani hadi ukaelewa Kwa ufupi wanatumia akili nyingi nguvu kidogo Kuna wanasiasa wao...
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Chama cha Wananchi (CUF) upande wa mwenyekiti wa chama hicho anayetambuliwa na ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Profesa Ibrahim Lipumba umedai Maalim Seif Sharif Hamad anajiandaa kuhamia...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Back
Top Bottom