Nimekua nikitembelea jimbo la Vunjp mkoani kilimjaro mara kwa mara na nilichogundua ni kwamba:
1.Jimbo lina shule za sekondari tatu hadi nne kwa kata moja.
2.Hospitali nzuri na zenye mazingira mazuri mfano kilema hospital,Marangu hospital,faraja hospital,.
3.Barabara zinapitika muda wote wa mwaka.
4.Makazi bora kabisa ya kuishi binadamu na sio msangamano wa nyumba kiasi cha kuruka kinyesi ili uweze kuingingia nyumbani kwako mfano wa nyumba zilizopo Keko Mwanga.
5.Hudumq ya maji ni ya kuridhisha saaana.
Tahadhari,haya maendeleo hayajaletwa Mbatia wala Mrema bali ni juhudi za kanisa kwa kushirikiana na serikali.
Nawasilisha wakuu na hongereeni mnoo watu mnaoishi jimbo la Vunjo ila ili mzidi kupaa kimaendelea ni lazima sasa kuhakikisha kuwa mnatuletea mbunge wa kushirikiana na serikali na si wa kupingana na serikali.