jeipm
JF-Expert Member
- Sep 28, 2018
- 500
- 825
Hili jambo limekuwa likinitatiza kwa muda mrefu.
Matumizi ya jina Musoma badala ya Mara, kwa namna ninavyofahamu hakuna mkoa unaoitwa mkoa wa Musoma badala yake Musoma ni wilaya tu kama zilivyo wilaya nyingine ndani ya mkoa wa Mara.
Ndani ya mkoa wa Mara kuna wilaya kama saba hivi
Bunda
Serengeti
Tarime
Rorya
Butiama
Musoma mjini na
Musoma vijijini
Nini kimepelelea watu kulitumia jina la Musoma kutambulisha Mkoa badala la jina la Mara?
Pia kuna baadhi ya vitabu mashuleni kwenye Ramani ya Tanzania sehemu ya mkoa wa Mara pameandikwa Musoma na hali hii ni tofauti na utambulisho wa mikoa mingine.
Je, ni nini kimepelekea jina la Musoma kutumika badala la jina la Mara?
Wana jamvi mwenye uelewa juu ya jambo hili anieleweshe.