SSRA yapokea maoni ya wadau suala la mafao

SSRA yapokea maoni ya wadau suala la mafao

kbm

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
5,224
Reaction score
1,687
Mamlaka ya udhibiti wa mifuko ya hifadhi ya jamii (SSRA), inaendelea kupokea maoni mbalimbali kutoka kwa wadau na wananchi kwa ujumla ambayo yatasaidia kuboresha kanuni na miongozo itakayoendelea kumnufaisha zaidi mstaafu kupitia mafao yake...

"habari zaidi soma kiambatanisho hapo chini"

Chanzo: MTANZANIA / NIPASHE
 

Attachments

  • IMG_20181227_080734.jpg
    IMG_20181227_080734.jpg
    174 KB · Views: 23
  • IMG_20181227_080836.jpg
    IMG_20181227_080836.jpg
    175.2 KB · Views: 29
  • IMG_20181227_080910.jpg
    IMG_20181227_080910.jpg
    170.3 KB · Views: 28
Karibuni wadau tuanze nasi kuwasilisha maoni yetu SSRA!
 
Bure kabisa hawa, kwa nini wasipokee hayo maoni kabla ya kupitisha hizo sheria zao mbovu
 
Back
Top Bottom