Ubalozi wa marekani nchini Tanzania imekanusha waraka ulioenea mtandaoni hivi karibuni uliozua taharuki.
Ufafanuzi umetolewa baada ya hali ya sintofaham kutawala kwa raia wao wa kigeni na...
Jeshi la Polisi linamshikilia Kadole Kamugisha kwa tuhuma za kimpiga hadi kumuua mkewe, Kemirembe Paul
Mtuhumiwa alikuwa akimtuhumu marehemu kwa kutokuwa mwaminifu na kuisaliti ndoa yao
Na Malisa GJ,
Je Unataka kufanikiwa? Fanya kile unachokipenda, na ukifanye kwa moyo (bidii). Kama unapenda utangazaji usisomee Udaktari kisa tu unafaulu Biology darasani. Somea utangazaji...
Mwenye kutaka rafiki asiye kuwa na Dosari, basi ataishi mpweke daima.
Mwenye kutaka Mke au Mume ambaye hana mapungufu, ataishi bila ya kuoa au kuolewa mpaka siku ya kufa kwake.
Mwenye kutaka...
Wadau wa Geita,kuna mshirika wangu kibiashara nilikuwa nawasiliana naye Jana lakini akaniambia umeme umekatika hivyo mawasiliano nisubiri umeme urudi.
Kufikia saa tatu usiku umeme ulikuwa...
Tangu saa 11 alfajiri, mvua inanyesha, tena mvua kubwa.
Pamoja na Radi za hapa na pale.
Watu tumeshindwa hata kwenda mashambani, tumelala tu, wengine wako jikoni wanaota moto na kula magazi na...
MAMLAKA ya Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA) imesema mabadiliko yaliyofanyika katika kanuni ya kikokotoo ya mafao ya uzeeni, wachangiaji wa chini walikuwa wanapata kati ya TSHS 20'000/=...
Hii nguvu kubwa mnayoitumia kurusha matangazo na sms kwenye Simu hebu jaribuni kutumia gharama hiyo mtuonyeshe LIVE Kama ni kwa kuzungusha Pipa au kivingine jinsi mshindi anavyopatikana na si tu...
Nikiri wazi mimi sio muumini wa tatoo, na sizipendi kabisa kuziona kwenye mwili wangu. Lakini cha kushangaza nimeamka asubuhi, nikawa nahisi kipele mgongoni ikabidi...
Kampuni ya udalali ijulikanayo kama MSUYA AUCTION MART acheni kutapeli watu na bidhaa zenu mbovu mmefanya utapeli wiki iliyopita Namba mnzotoa kwa wateja wenu nazo feki listi mnasumbua kutoa sasa...
*HONGERA MANISPAA YA MOSHI*
Mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira ya Manispaa ya Moshi imekuwa mshindi wa kwanza kwa huduma Bora zaidi za kusambaza maji safi na salama kwa mamlaka za maji...
Kama upo lonely [emoji17], mad [emoji35], sad [emoji20], disappointment. Let’s drop ourselves hapa...ikiwezekana PM tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Maisha tuseme ni yale yele na maana hapa bongo,ila hule msemo wa maskini hakipata matako nayo uliya mbata.
vituko vya wasanii katika kuonesha wamefanikiwa kuanzia mijengo,biashara,magari na...
Rejea mada tajwa hapo juu,
Mfano mkoa wa dar una askofu wa jimbo kuu mmoja ambaye ni mhashamu polcap kadinali pengo
Mkoa wa morogoro una majimbo matatu
Jimbo la morogoro
Jimbo la ifakara
Jimbo...
Leo nimeshuhudia jirani yangu akizikwa kama kuku.
Nimeuliza mbona huyu ni muumini tu kama wengine? Nikajibiwa haudhurii jumuiya pia hashiriki ibada. Viongozi wa dini wamemkana hawawezi kumsomea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.