BIKO matangazo Yamezidi!

BIKO matangazo Yamezidi!

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,261
Reaction score
6,557
Hii nguvu kubwa mnayoitumia kurusha matangazo na sms kwenye Simu hebu jaribuni kutumia gharama hiyo mtuonyeshe LIVE Kama ni kwa kuzungusha Pipa au kivingine jinsi mshindi anavyopatikana na si tu kutuonyesha Mtu anakabidhiwa minoti Hulu akitoa shuhuda nyingi za kuomba watu wengi wacheze ,hivi ule ushuhuda anaongea yeye toka moyoni au anaelekezwa aseme nini?
Sijui kwanini zamani ilikuwepo Bahati nasibu ya taifa walikua na mabanda sehemu nyingi na kulikua na weakly draws pia monthly draws ilikua ni mpango mzuri lakini sijui nini kilishindikana..
Pia Ipp walikua na BINGO JACKPOT iliendeshwa vizuri na draw ilikua Live kila jumapili usiku katika TV. Sijui michezo hii ilikufa na nini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naangalia Muvi ya Anaconda ya 1997
 
Back
Top Bottom