Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Juzi mwezi wa nane, Kiongozi wa Kanisa Catholic, Pope Francis, alikuwa Ziarani Ireland ambapo pamoja na mengine, aliomba radhi kwa tuhumu za watumishi wa kanisa kufanya vitendo vya kidhalilishaji...
13 Reactions
300 Replies
31K Views
KANISA KATOLIKI. Ni Kanisa kubwa kuliko yote duniani, waumini wasiopunguwa 1.29 bilioni, Diyosisi 2,851 na Parishi 221,700. Lilianzishwa karne 1. Hapa kwetu TZ, lilihusika na tuhuma za fedha za...
1 Reactions
20 Replies
4K Views
Sisi wakatoliki tuna taratibu zetu za kufanya ibada ya Mazishi. Katika kanisa ibada hufanyika tu kwa muumini aliyekua active katika shughuli zote za kanisa bila kijifichaficha. Sina hakika kwa...
17 Reactions
306 Replies
33K Views
Saddam Hussein baada yakuhukumiwa kunyongwa Akiwa anangojea adhabu yakunyongwa Alishauriwa na Mwanasheria wake ambaye alikuja kuviandika vitu vyake baada yakunyongwa avichukue nani Alimwambia...
3 Reactions
19 Replies
4K Views
Idara ya Uhamiaji Tanzania ambayo hivi karibuni ilizindua huduma ya Maombi ya Viza kwa wageni kupitia mtandaoni, Leo imetoa taarifa kwa Umma ambayo inasisitiza watumiaji wa huduma hiyo kuomba Viza...
2 Reactions
7 Replies
5K Views
Mapadri watatu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Same, wamefariki dunia ndani ya saa 72. Kanisa limesema vifo vya aina hiyo havijawahi kutokea. Waliofariki wametajwa kuwa ni Padre Ubaldus Kidavuri...
4 Reactions
37 Replies
13K Views
Kanisa Katoliki JIMBO Kuu LA DAR linaongozwa na viongozi wakuu wanne, nao: 1. Kardinali Polycarp Pengo- PhD. Theolojia ya maadili, mnyenyekevu, mpole, anajiamini,jasiri na ana msimamo 2. Askofu...
4 Reactions
41 Replies
9K Views
0- Sijasoma, ila, nina uelewa, nadhani kuwazidi hata baadhi ya wasomi. 1- Niko mkoani! 2- Umri, nimezaliwa 1997. 3- Mtoto wa 1 kati ya watoto wawili. 4- Ni mwanaume! 5- Sina wazazi wote...
7 Reactions
109 Replies
12K Views
Kama mnavyojua vitu vizuri vizuri vyote ni kazi na miliki ya shetani, 1: pombe 2:Sigara 3:Papuchi anasa na kila ubaya unaouona ni kazi ya shetani . Je ukikutana na Shetani leo hii utamwambia...
2 Reactions
94 Replies
6K Views
Habari wana JF Kwa kifupi sana baada ya Mazungumzo ya Mh. Raisi na wadau wa mifuko ya jamii ninaweka mapendekezo yangu ili yafanyiwe kazi na kuboresha uhimilivu na ustahimilivu wa hii mifuko kama...
0 Reactions
0 Replies
919 Views
Kwanini ulijilimbikizia madeni yote haya na huku ukimwaga mihela kibao kwa Yanga
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Mnara wa babeli ulivurugwa na MUNGU na kuwa chanzo cha uwepo wa lugha nyingi hadi leo baada ya MUNGU kugundua kuwa walichokifanya wanadamu ilikuwa kumkufuru MUNGU. Nchi yetu imetapakaa matukio...
0 Reactions
3 Replies
760 Views
Jamani niseme ukweli siku ile ndege ya airbus ilivyotua jkna huku serikali nzima ikikata viuno eti kuimbia ndege lilikuwa ni jambo la fedheha na aibu kubwa mno kwa taifa eti wanaimba ndege...
20 Reactions
67 Replies
8K Views
inawezekana wengi mmeshawahi kushuhudia kwamba kuna tendency au tabia baadhi ya watu kutokupenda kujulikana makabila wanayotokea na asili yao "" yaani kuna mwingine ukimuuliza wewe ni kabila gani...
6 Reactions
161 Replies
13K Views
Wakuu nmekutana na huyu chura wa ajabu anayebadilika rangi kama kinyonga. Katika utafiti wangu wa muda mfupi akiwa na furaha anakuwa na rangi nyeupe pale anapokasirika anakuwa na rangi...
5 Reactions
47 Replies
8K Views
Tarehe 1 July nilifika na mgonjwa pale hospitali mishale ya saa 5 usiku nikiwa nimetoka mkoani njombe,mgonjwa wangu ana stroke, hata hivyo pressure take ilikuwa juu sana,baada ya kuonana na...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
JESHI la Polisi linaendelea kuzishikilia simu ya Mbunge wa Kigoma Mjini (ACT Wazalendo), Zitto Kabwe, kwa miezi 14 sasa kwa ajili ya uchunguzi. Kwa mujibu wa maelezo ya polisi walioshikilia simu...
2 Reactions
4 Replies
4K Views
Habari Wakuu! Kuna Business Partners wangu toka Sri Lanka nimekua na Mazungumzo nao ya muda sasa, na sasa wapo tayari kunitembelea Tanzania kwa ajiri ya kufanya survey ya Biashara. Lakini...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Biology inasema baada ya tendo la ndoa mbegu za kiume zinazoingia kwa mwanamke ni takribani mbegu milioni mia tatu (300,000,00) na zote huanza kuogelea kuelekea kwenye ovum (yai) Kati ya hizo...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Achana na tume ya kiccm Achana na policcm Achana na kichaa jiwe na kadhalika Siku tutakayoikumbuka Chadema basi tutakuwa katika hali ya zibwabwe Unachotakiwa kufanya ni kuwa tayari kula...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom