Uzi maalum kwa watu walio wapweke

Uzi maalum kwa watu walio wapweke

IMG_20181216_210641.jpg
 
Sababu za upweke ni nyingi nitataja chache

1.umri
2.breakups
3.uchumi
4.maradhi


wengi wako kwenye namba 2 na 3
 
Duh!

Halafu ID mpya...

Things that make you go hmm 😐.....
 
Sababu za upweke ni nyingi nitataja chache

1.umri
2.breakups
3.uchumi
4.maradhi


wengi wako kwenye namba 2 na 3
no 2 Na 3 Zinatawala Zaidi. Age Is Nothing But A Numaber, Waweza Pata Mwenza Wako Hata Ukiwa Na Umri Mkubwa. Kwenye Maradhi Kama Uchumi Uko Vizuri Mwenzi Wako Hawezi Kukukimbia. Shida Ni Uchumi Tu.
 
Back
Top Bottom