Marekani yaukana waraka wake ulioenea mtandaoni

Marekani yaukana waraka wake ulioenea mtandaoni

Mwanzo Shiza

Member
Joined
May 21, 2018
Posts
79
Reaction score
36
Ubalozi wa marekani nchini Tanzania imekanusha waraka ulioenea mtandaoni hivi karibuni uliozua taharuki.
Ufafanuzi umetolewa baada ya hali ya sintofaham kutawala kwa raia wao wa kigeni na watanzania pia.

Soma zaidi hapa
US embassy says travel advisory on Tanzania normal
Screenshot_20181228-182502.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
shenzi zao hawa,ina maana the citizen sasa hivi ni gazeti la udaku?
 
Shine za vitumbua na ukoko wa pilau la sikukuu,zinalevya sana.

Wengine tulijua tu,ni mtu mmoja kakosa kazi katoka na hiyo nyaraka kutoka usa.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi na sisi kwa mfano tunaweza toa tahadhari kwa wananchi wetu walioko Marekani juu ya mashambulizi ya washambuliaji “sharp shooters” na wao wakaona poa tu??
 
Chadema maongo sana ukiona yanashadadia kitu kuwa makini sana nyingi ni fakero
 
Ubalozi wa marekani nchini Tanzania imekanusha waraka ulioenea mtandaoni hivi karibuni uliozua taharuki.
Ufafanuzi umetolewa baada ya hali ya sintofaham kutawala kwa raia wao wa kigeni na watanzania pia.

Soma zaidi hapa
US embassy says travel advisory on Tanzania normalView attachment 979740

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni vichwa panzi tu ndio walikurupukia ule waraka. Mwenye akili hata ya kuvukia barabara angegundua hio travel warning ipo miaka na miaka na sio Kwa Tz tu
 
Back
Top Bottom