Inakuwaje wasimamizi wa mambo ya mitandao website yenu inakuwa haipo update kiwango hicho huku kukiwa na makosa mengi?
Hili linanifanya niwe na shaka na ufanisi wao
Kuna makampuni yalishajifia...
Taarifa zilizopo ni kwamba kuna kila dadlili za dayosisi ya Mashariki na Pwani kumshinda Dr Alex Malasusa.
1. Dayosisi imejaa madeni na kuna wakati watumishi wanashindwa kulipwa mishahara yao
2...
Wakuu,katika maisha yangu nilishajiwekea nadhili(kiapo),
kuwa kamwe sitokuja kuchangia harusi wala kutoa sadaka kanisani(mimi ni mkristo).
Mwanzoni nilikutana na vigingi,vikwazo na vitisho...
Tukio hili limetokea tarehe 20/12/2018 majira ya 19:30hrs ambapo Jeshi la Polisi lilipata taarifa kuwa huko maeneo ya Mtaa wa Lumaliza kata ya Mbugani Manispaa ya Tabora.
Kijana mmoja aitwaye...
Wakuu nina wasalimu,
kwa Hakika majaribu ni mengi na mambo ambayo tunapitia ni mengi sana ambayo kimsingi ni vigumu sana kuweza kufanya vizuri kama huwezi kujipamba na vazi la Subira maana...
Akizungumza na waandishi hivi karibuni CEO wa shirika la ndege la green africa ndugu Babawande amethibitisha shirika hilo limeagiza ndege 100 aina ya boeing 737 max 8 katika juhudi za kulijengea...
Haya mabasi yanaboa sana toka kuanza kwa sikukuu imekua kero kwa wasafiri wa haya mabasi vituo vimejaa mabasi machache likija mnaminyana mpaka unaisi kupoteza maisha.lingine hivi kama mtu anaumwa...
Kwa ujenzi wa njia nane ulio anza leo ni wazi kabisa KIBAHA imeunganiswa na DSM kiasi kwamba baada ya kukamilika kwa ujenzi huo huwezi kutofautisha kati ya Dar na kibaha, ikumbukwe pia kibaha ni...
Nadhani ubabe anaoufanya unamaana na alishauriwa hivyo kwa mazingira ya sasa
imagine uhuru wa maoni na maandamano aliotuachia JK ungeachwa uendelee mikutano ya siasa isingepigwa ban pengine kila...
Bwana mmoja raia wa Ufaransa ameanza safari ya kuvuka bahari ya pili kwa ukubwa duniani, Atlantiki, kwa kutumia pipa kubwa aliloliunda mwenyewe.
Jean-Jacques Savin, mwenye miaka 71, ameanzia...
Toka saa 7.00 usiku sehemu kubwa ya Kinondoni kama sio Jiji zima la Dar halina umeme.Hatujui tatizo ni nn?
Mamlaka husika tuambieni kuna nn kimetokea?Tupo kwenye joto kali hakulaliki
Sent using...
watu wenye uwezo wa kumfikishia hii taarifa basi wamuambie aisee sasahivi kuna abiria wengi sana wa nyamisati mafia.mfano jana wamepanda 150 na wengine 70 wakakosa usafiri kwa nini asianzishe...
wakuu habarini za muda huu naombeni kwa anayejua namba za mawakala Wa SONY SERVICE CENTER ninashida nao ambao wapo hapa dare salaam TV yangu imezingua imezima ghafla naogopa kupeleka TV yangu kwa...
Zura Karuhimbi hakuwa na silaha yeyote ya kujilinda wakati wanaume waliokuwa na silaha walipoizunguka nyumba yake na kumtaka awakabidhi watu aliokuwa amewahifadhi nyumbani mwake.
Mwanamke huyo...
Wasalamu wakuu Leo nipo maeneo ya Mwanza Mwanza alimarufu Rock city au ukipenda security city
Lengo langu nikuanza mwaka mpya nikifurahia jiji hili la Mwanza kwa wenyeji tupeni vituo na mahala...
Sijui kwanini wanapenda kudanganya wakati wenzao wakitoa takwimu wanakuwa wakali hata kuwaweka ndani.
Mhariri wa gazeti la Uhuru la leo ameandika ukiwa na 10elfu na ukiwa unaishi Tandika...
Jamani leo ndio mara yangu ya kwanza kufika kanda ya mashariki hususani jiji la deselaamu.
Kwa kweli kwa joto hili, mavumbi haya, hewa chafu hii, msongamano wa viumbe, msongamano wa minyumba na...
Hivi hapa Watanzania wakiwahisi vinginevyo mtawaona wabaya? au tukihisi kuwa pengine Bwana Mkubwa kwakuwa ni Msukuma hivyo labda maamuzi yake alianza Kwanza kuwapa Nduguze Wasukuma huko Mwanza...
Naomba kujuzwa juu ya uaminifu wa kampuni ya uuzaji wa magari Realmotor Japan. Website yake ni www.realmotor.jp lakini unapoifungua website yake kuna neno linalosomeka Not secure. Je kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.