kbm
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 5,224
- 1,687
MAMLAKA ya Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA) imesema mabadiliko yaliyofanyika katika kanuni ya kikokotoo ya mafao ya uzeeni, wachangiaji wa chini walikuwa wanapata kati ya TSHS 20'000/= na 50,000/= kwa mwezi, sasa watapata TSHS 100,000/= kwa mwezi...!
Chanzo: NIPASHE, MTANZANIA, MAJIRA...
"zaidi soma kiambatanisho hapo chini."
Chanzo: NIPASHE, MTANZANIA, MAJIRA...
"zaidi soma kiambatanisho hapo chini."