Wasanii wa sasa sio kioo cha jamii

Wasanii wa sasa sio kioo cha jamii

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,425
Maisha tuseme ni yale yele na maana hapa bongo,ila hule msemo wa maskini hakipata matako nayo uliya mbata.
vituko vya wasanii katika kuonesha wamefanikiwa kuanzia mijengo,biashara,magari na n.k.wanapenda sana kutuongezea 0 mwishoni tena zina weza kuwa 000.

Tatizo ni nini kwenu wasanii kutuambia ukweli.maana mkiojiwaga sijui mda mnaokuwepo mnakuwa mshapakia balimi.

Jamani kama hawa mawimbi kushitukiwa naona wasanii watamba na ndinga wakisema wamenunua mabei ya ajaabu.
wawe wakweli...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom