Wilaya 10 zinazoongoza kwa kuchangia pato la Taifa

aka2030

JF-Expert Member
Jan 5, 2013
2,650
3,662
Wadau, naomba mwenye kujua anisaidie wilaya 10 zinazoongoza kuchangia pato la Taifa na shida nazo muhimu kuweka baadhi ya nyaraka sawa.
 
Ilala,
Kahama
Mufindi
Kinondoni
Temeke
Arusha mjini
Mbeya
Nyamagana
****Songea

Data za 2013 CIA encyclopedia
Usijali huo mtiririko
 
Ilala is by far. Zaidi ya 50% ya mapato ya nchi nzima yanakusanyiwa Ilala. Hii inachangiwa na uwepo wa corporate head quaters nyingi wilayani humo.
Note: Sehemu inayokusanyiwa mapato haimaanishi hilo eneo linaongoza kwa uzalishaji.
NMB, NBC, CRDB au Azam anapolipia kodi Ilala, ina maana ameshakusanya kodi ya mapato yaliyozalishwa sehemu mbali mbali ya nchi. Pia bandari inakusanya mapato kwa niaba ya nchi. That means, bila uwepo wa Singida, Mwanza, Dodoma etc kwenye uchumi wa TZ, Ilala haiwezi kukusanya kiwango hicho cha sasa.
 
Local mapato ni Ilala. Foreign currency ni Serengeti. Kwa official statistics from TANAPA, over 80% ya watalii wanaotembelea nji hii wanakuja kwa ajili ya mbuga ya Serengeti.

Serengeti ikifa hela za kigeni tutakua tunazisikia redioni.
 
Wadau, naomba mwenye kujua anisaidie wilaya 10 zinazoongoza kuchangia pato la Taifa na shida nazo muhimu kuweka baadhi ya nyaraka sawa.
Tunahitaji orodha ya wilaya zenye makazi bora ya kuishi binadamu
 
Back
Top Bottom