Mrembo Lilian Peter Ndagiwe mkazi wa Shinyanga Mjini amezua gumzo wakati akifunga ndoa na Ottoh Yanga baada ya kupanda na kuendesha Tinga Tinga /Katapila ambalo hulitumia katika kazi zake katika...
Asitokee Mtu akadhani labda kwamba yaliyotokea hasa haya Maamuzi yametokana na Yeye kwani ni Uwongo mtupu na kama alikuwa kweli na nia nzuri basi asingekaa kimya miezi miwili wakati hili Suala...
Babati. Jeshi la polisi Mkoani Manyara linawashikilia watu wanne kwa tuhuma za kumuua kwa kumkata mapanga mkazi wa Kijiji cha Bashang' wilayani Hanang.
Akizungumza na Mwananchi leo Ijumaa Desemba...
Imekuwa ni vigumu sana kwa walio wengi kufanya chaguo juu ya mwenzi bora wa kudumu naye, hasa kwa upande wa wanawake/waschana kwenye kutoa maamuzi juu ya wanaume pindi wanapoleta maombi...
Yangu matumaini kila mmoja wetu humu ni mzima wa afya tele, wale ambao kidogo mambo hayako sawia Mungu awape wepesi katika hali walizo nazo ,,
Niende moja kwa moja kwenye mada ,binafsi...
Wanajanvi.
Yule ndugu yetu mtanzania mzalendo alopima samaki kwa rula pale bungeni inasemekana ameula. Sasa ni mkurugenzi wa MARINE PARKS TANZANIA. Uteuzi wake una baraka za waziri husika, chanzo...
Twanga pepeta mnachokifanya sio fear kabisa mkiwa Dar mnaaza kuimba kuazia saa moja mkiwa mikoani mnaaza kupiga mziki saa saba usiku amfanyi fear kwa hilo niko mwanza villa park mpaka saizi...
Salamu nyote. Poleni na mawazo ya December plus January!
Straight kwenye mada tajwa hapo juu.
Hapa duniani hatujaja kupata msoto , na hatujaja kwa bahati mbaya. Tumekuja kwa reasons. Mungu...
Hawa walikuwa washirika wetu kibiashara. Wameingia Tanzania October 2017. Leo wanaondoka nchini kwa style ya kipekee. Tunaelekea wapi TRA inapokuwa chanzo cha kufunga biashara? Huyu ni Binamu...
Wadau nimekuwa najiuliza kwani binadamu akifariki kuna MAITI HUCHOMWA moto na kuna MAITI huzikwa. SWALI langu ni kwanini wanachoma moto na wale wanaozika kwanini wasichome moto? Je ni masuala ya...
Neema Imetangazwa mpaka 2023, hakuna muda tena, hapa nimeanza kudraft barua kwaajili ya mama angu, mama staafu kwa Amani zamu yetu ikifika nasi tutapambana.
vvm
10 nations where the penalty for gay sex is death
By Colin Stewart
Ten nations with large Muslim populations have laws providing for the death penalty for same-sex activity.
Only a few...
MWINGEREZA Matt Haig ambaye ameandika kitabu kilichouzika sana cha ‘Reasons to Stay Alive’ anasema yeye akinywa pombe humletea wasiwasi hofu na uoga anatoa ushauri wa namna ya kufanya ili asinywe...
Wakati tukiendelea kufurahia na kumpongeza raisi kwa kutengua kanuni na hasa ya kikokotoo kipya, ni vyema tukafahamu implication ya nn hasa alicho maanisha raisi.
Fuatana nami kwenye hili andiko...
Wapendwa hongereni na poleni kwa majukumu ya hapa na pale. MERRY CHRISTMAS.
wakuu kawaida tunapoelekea mwisho wa mwaka wakristo huwa tunasikukuu moja kubwa ya kuzaliwa(kufanyika mwili) mkombozi...
Wakuu Jana nimefuatilia kipindi cha ITV kuhusiana mjadala wa kikokotoo cha mafao kwa watumishi pindi wanapo staafu.
Kuna mchambuzi mmoja alikuwa kavaa nguo nyeusi , huu jamaa alieleza vizuri sana...
Leo nilikua napita-pita kwenye site moja ya ajira (Ntahifadhi jina la site)...nikakutana na job vacancy ya Senior Transport Officer ilitangazwa na Jhpiego (Tz)!
Kabla cjaendelea na hi thread...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.