Mambo gani huzingatiwa katika kugawa majimbo kanisa Katoliki?

muhamar Gadaf

JF-Expert Member
Jul 5, 2017
1,054
994
Rejea mada tajwa hapo juu,
Mfano mkoa wa dar una askofu wa jimbo kuu mmoja ambaye ni mhashamu polcap kadinali pengo

Mkoa wa morogoro una majimbo matatu
Jimbo la morogoro
Jimbo la ifakara
Jimbo la ulanga

Kwa wakatoliki wote wenye uelewa mzuri wa namna / vigezo vinavyo tumika kupata haya majimbo.

Tumsifu yesu kristo !
 
Ngoja nisubiri jibu na mimi..

Maana Mkoa wa Arusha ni Mkubwa ila ina jimbo moja..

Ila Kamkoa cha Kilimanjaro ni Kadogo ila kana majimbo mawili..
Jimbo la Same na Jimbo la Moshi
 
Wana zingatia kitu inaitwa jus canonicum almaarufu kama "Canon law of the catholic church".
 
Wana zingatia kitu inaitwa jus canonicum almaarufu kama "Canon law of the catholic church". Kwa sasa naishia hapo.
 
Rejea mada tajwa hapo juu,
Mfano mkoa wa dar una askofu wa jimbo kuu mmoja ambaye ni mhashamu polcap kadinali pengo





Mkoa wa morogoro una majimbo matatu
Jimbo la morogoro

Jimbo la ifakara
Jimbo la ulanga




Kwa wakatoliki wote wenye uelewa mzuri wa namna / vigezo vinavyo tumika kupata haya majimbo,


Tumsifu yesu kristo !
Peleka hilo swali kwa radio Maria au tumaini, utawakuta wataalamu watakupa majibu mazuri . Napia unachotakiwa kufanya ni kutafuta utakatifu na sio mgawanyo wa majimbo ,
 
Rejea mada tajwa hapo juu,
Mfano mkoa wa dar una askofu wa jimbo kuu mmoja ambaye ni mhashamu polcap kadinali pengo





Mkoa wa morogoro una majimbo matatu
Jimbo la morogoro

Jimbo la ifakara
Jimbo la ulanga




Kwa wakatoliki wote wenye uelewa mzuri wa namna / vigezo vinavyo tumika kupata haya majimbo,


Tumsifu yesu kristo !
Hata mahenge nayo ni jimbo na inapatikana morogoro. Shida yako ni nini?
 
Ukumbuke kuwa kuna Jimbo na Jimbo Kuu kama ulivyoeleza mwenyewe. Sasa hivyo vitu ni tofauti na majimbo hayo yaliyopo Morogoro yapo chini ya Jimbo kuu la Dar.
 
Inategemea na idadi ya "waamini", income yao, nakadhalika.
Hawaangalii ukubwa wa eneo (kilomita za mraba)
 
Back
Top Bottom